Recent content by Nsema

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kilio chetu kwa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi pamoja na Wizara ya Nishati

    Sisi ni Wataalamu 183 tulifanya kazi ya Uthamini katika uhamishaji wa wananchi kwenye Mradi wa GN 754 Mbarali Mbeya ambao ulikuwa unahusisha Wananchi kuhamishwa Ili kupisha hifadhi ya Ruaha na Bonde evu la Ihefu. Waheshimiwa Mawaziri wa Wizara ya ardhi Jerry Silaa na Mhe. Waziri na Naibu Waziri...
  2. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa atangaza kukata rufaa kupinga Ushindi wa Joseph Mbilinyi (Sugu) Kanda ya Nyasa

    Hivi wenyekiti wa Kanda unamaslahi Gani?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

    Mh.Waziri Mkuu awali ya yote nakupa pongezi na shukrani Kwa kulipambania taifa letu kwenye pilika za kuleta maendeleo. Mungu azidi kukupa nguvu na uwezo wa kuendelea kulipambania taifa letu Ili lisonge mbele. Mh. Waziri mkuu nakuja kwako naleta Malalamiko yangu Kwa niaba ya wenzangu tuliokuwa...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mambo 42 kuhusu kabila la Wamatengo

    Upo sahihi kabisa mkuuu. Mayani gapata tabu sana Kwa vamatengu
  5. N

    JamiiForums Tanzania Waraka wa wazi kwa Waziri wa Ardhi Jerry Silaa

    Ushauri murua kabisa. Kama Serikali inaajiri maafisa maendeleo Kila kata,Afisa Afya Kila kata. Sasa kwanini wasiajiri ma Afisa mipango miji na wapima Kila kata Ili kudhibiti ukuaji holela wa miji! Pia ningeshauri Kila palipo na Makao makuu ya kata basi iandaliwe GN na patangazwe kama ni...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Arusha ni Mji ulioachwa uharifu utambe

    Upo sahihi kabisa.Mwaka 2014 nilikuwa Arusha kwenye field work mitaa ya Kaloleni pale. Kuna dada moja hivi alinifuata nimpe 1000 au anichanie form zangu nilizokuwa nakusanyia data. Kama masihara vile alimanusura azichane.ikabidi niwe mpole nimpe tu.Arusha siyo salama.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nisome Masters UDOM au Jordan University?

    Mradi kukomoa tu
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliwahi kupata mikasa gani kwa kuishi kwa ndugu?

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Polisi Kitunda Mkoani Tabora kimechomwa moto na wananchi wenye hasira

    Kitunda ya Sikonge Tabora! Shida Nini?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo kutatua tatizo la Dollar Tanzania

    Well said
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Baraza la Madiwani wasutwa kwa kutokuwa na lolote la kuonyesha kimaendeleo!

    Naafiki.wale wasafwa walikuwa wagumu sana
  12. N

    JamiiForums Tanzania Niliingia CCM sababu ya Magufuli. Nachana kadi muda sio mrefu

    Halafu Faiza Foxy umekuwa member wa hii forum muda mrefu sana. Lakini mbona Enzi za utawala wa Hayati John Josephu Pombe. Ulikuwa kimya sanaa.Sijui ulikuwaje?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi lashindwa kulipa posho ya chakula ya askari mwezi Mei 2023

    Sasa sisi tufanyaje? Mkuuu. Unataka JF members wafanye Nini mpate posho zenuu?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mjue Steve Ndaula, mmiliki wa kampuni ya BMC iliyowatapeli watu zaidi ya Sh. Bilioni 16 kisha kukimbilia Dubai

    Dogo kawazidi hakili hadi wazee waliozaliwa miaka ya 1950s
  15. N

    JamiiForums Tanzania Abdul Kambaya na wanachama kadhaa kutoka CUF wajiunga CHADEMA na kupokelewa na Freeman Mbowe

    Tuwe makini na akina Kambaya. Wanaweza wakawa virus.
Back
Top Bottom