Recent content by nsekangaye.kagabo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Raha na karaha ya bia ya Sita

    Shetani at work
  2. N

    JamiiForums Tanzania Huduma za vifurushi vya muda wa maongezi ni wizi mtupu!

    Sent kwa dakika ni sekunde bana!!!
  3. N

    JamiiForums Tanzania Warioba hama CCM, nenda UKAWA - Steven Wassira

    Napita tu, gombe kunaongezwa wanyama? Utalii utapanda
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wanawake na suruali

    Amelaaniwa avaaye mavazi yasiyo ya jinsia yake
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mlimani TV: Leo tutakuwa na Humphrey Polepole

    Mr polepole, je katiba inayopendekezwa ina sifa ya kuitwa katiba mya au ni sawa na ya zamani?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mlimani TV: Leo tutakuwa na Humphrey Polepole

    1. Mr Humphrey polepole, unadhani/unaamini 2/3 ilipatikana bila kuchakachua? 2. Mchakato uliharibikia wapi? kwenye sheria ya mabadiliko,uteuzi wa wajumbe au sehemu ipi?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ikulu yakanusha kwamba Rais Kikwete hakupewa saa na Shumaka

    Warioba anaona mbali. Zawadi?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Marry Warioba for us

    marry s6
  9. N

    JamiiForums Tanzania CCM Kwaheri ndani ya Mkoa wa Kigoma 2015

    Kwa kweli kigoma siasa wanaijua. Sijui nccr walifanyaje mpaka wakapata wabunge kasulu. Mbunge obama ni mwepese kisiasa, hajui siasa lakini anachojua ni kumwaga takrima hata kama imepigwa marufuku
  10. N

    JamiiForums Tanzania Sita Acha Kumdhalilisha Rais

    TUSUMBUKIE MKOA MMOJA WENYE WATU Im+ wa nini?tunatafuta sifa ili iweje? KUANZIA KESHO WAZENJ WOTE WAINGIE TANGANYIKA KWA PASSPORT/VISA. NA WALIOPO BARA WAOMBE URAIA KWA GHARAMA NAFUU.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Picha: Wananchi warudisha kadi za CCM, Lissu azichoma moto - Ifakara

    Mashujaa wanaoweza kuthubutu wanaongezeka. Lisu kawazidi ubunifu kina nepi na mwigulu sijui hili la kuchoma kadi za magamba watalijibu vipi.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Wake za watu

    Survey niliyoifanya inaonyesha asilimia 90 ya wanawake waloolewa ni wepesi kutongoza. Wana mabwana zaidi ya wawili na hudanganywa kwa vitu vidogovidogo na ving'ang'anizi.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Wake za watu

    Mila na desturi zinachangia sana. Nimeoa kabila ambalo wanaamina ktk mafiga matatu ya ndoa. Mume wa ndoa, bwana wa gengeni na wa starehe.hata ukumtimizia kila kitu ndani lazima atatoka nje. Pili kuna makabila ambayo uzinzi ni jambo la kawaida hivyo akitoka nje usishangae.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Jibu haraka kama wewe ni genious!!

    Ataitwa nunu
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume wenzangu juu ya wanawake.

    Kwa hakika mwanamke tangu alipolaaniwa na mungu kwa kumwambia"kwa uchungu utazaa na mwanaume atakutawala" amekuwa kwenye mapambano dhidi ya mwanaume siku zote. Mwanamke ana tamaa ya kumtawala mwanaume. Ndiyo maana 80% ya wanawake wote(wa kitanzania) huenda kwa sangoma
Back
Top Bottom