Mimi castle lite ya 15 mixer konyagi kasichana na embassy:mvutaji::bange: ndio inaanza kujibu maombi.
Umewahi kunywa bia? Mpaka leo huwa naitafuta substitute ya pombe nashindwa, nataka kuiacha lakini nikiwaza sana namna ya kuiacha najikuta nimefika bar na kukumbuka tena nikiwa na bia ya 2. Ukinywa pombe ndio utaelewa uzito na thamani yake. Sijawahi kuzima njiani wala kulala mlangoni kwangu, kujitapikia ingawa kuna kipindi hunitokea alfajiri ile hali ya kichefuchefu kikali na kutapika lakini si kujitapikia, sijawahi kupotea njia ya kwangu na wala situkani mtu ila ile hali ya kuipenda kupita kiasi ndicho kinachonisumbua, nateseka.Pombe haifai jamani sasa mzee mzima mpaka unajitapikia halafu unasema ni starehe dah acheni pombe bhana.
Bia tamu jamani
Konyagi ni tamu zaidi
Kuna Prof. Aliwahi kuniambia kuwa ukiingia Bar unaona wahudumu wote wabaya ukinywa bia nne wale wembamba unaanza kuwaona mamiss so huchaui tena unaloveee wooote chezea lager wewe