Recent content by Nsam

  1. Nsam

    Ungekuwa ni wewe ungefanyaje?

    Siku moja asubuhi nikiwa kazini. Alikuja mwanamke mmoja mtu mzima kunizidi umri Alinikuta niko ofisini na mkurugenzi msaidizi wa taasisi husika. Yule mkurugenzi alimwelekeza yule mwanamke kwangu nimsikilize. Nikamuita kwenye ofisini ya mkuu wangu wa kazi nimsikilize Lakini yule mtu alikataa...
  2. Nsam

    Tayari nimepata mwanamke wa kuoa ila kuna vitu sijaelewa wakuu. Nishaurini tafadhali

    Hongera kka ninakushauri japo ccm kuna hela za bure ila ndoa si nyepes kama hujajipanga Pili kwa familia za kiafrka yuko sawa kwenye kutokukutambulisha ila hayuko sawa kukunyima juju Maana yake kuna anayempa Tatu anasuburi matokeo maana anaweza kufel tena anaogopa kuambia ww ndo chanzo cha...
  3. Nsam

    Niger: Jeshi lapindua Serikali

    Sehemu kubwa ambayo serikali ya tanzania imefanikiwa kuondoa coupé detat ni kuwaahidi wanajeshi vyeo za kisiasa Yaan kushare national keki hvo wanakuwa desperate sana kwenye nchi Kiukwel mapinduz kweti hayawwz tokea maana hao wanajesh wakishastaaf wanakuwa wakuu wa mikoa mabolz na kadhalik...
  4. Nsam

    Nimepata mchumba kanisani kwenye Morning and Evening Glory, Novemba 2023 naolewa

    Hofu akishasettle anaweza kurudia mtu wake wa awali
  5. Nsam

    Nimepata mchumba kanisani kwenye Morning and Evening Glory, Novemba 2023 naolewa

    Hongera kwake kizazi hiki ni nadra sana kuolewa bila kutoa sex ila Bwana amemuona achunge asikutane na yle jamaa naamini wanaume hawaachag x zao
  6. Nsam

    Tunavyosema mkataba una dosari muelewe, oneni ufafanuzi wa CCM hapa na ndio wamesema wanaelimisha watu

    Hata mtoto wa darasa ka saba hawez kuelewa hata kwa kukaribia sisi tunataka exactly year wao wanatoa tantarira
  7. Nsam

    Mayele alikuwa anamroga Crispin Ngushi, bora ameondoka

    Hahaha na kwel washirikiana sana ukienda kwa grup wasap zao nj ushirkina tu
  8. Nsam

    Mayele alikuwa anamroga Crispin Ngushi, bora ameondoka

    Kaka umesema unaweza kutuambia kuwa nani anawaloga washambuliaj wageni wa simba
  9. Nsam

    Nini kilichopo nyuma ya pazia ya uwekezaji wa bandari? Kwanini serikali haikuwaeleza wananchi kabla ya kusaini wanawaeleza sasa kwa nguvu?

    Wakuu naleta hoja kwenu au swali. Kwanini serikali inatumia nguvu kubwa kuwaeleza watu juu ya huu mkataba wa bandari? Mbona mktaba ulishapitishwa na bunge nini kimewarudisha nyuma kuwapa watu elimu Nimeona kwa baadhi ya mikoa kama leo wamiliki wa shule binafsi wanaombwa magari ya kusafirisha...
  10. Nsam

    Binti aliyeniacha 2020 kisa kupoteza kazi amerudi 2023. Nishaurini hapa!

    Nawasilisha kwenu wakuu nishaurini kuna bint niliyekuwa naye nilikuwa nampenda sana tena mno ila kipindi cha korona sehem nilikuwa nafanya kazi ikaanguka tukaachishwa kazi. Alikaa kimya kwa muda mrefu akaja kunitafuta tena akapotea tena Juzi amekuja na story zake kuwa amenikumbuka ametendwa...
  11. Nsam

    Nimemsaidia Mwanamke asijitoe Uhai sababu ya Magumu ya Ndoa anayopitia

    Huna mda utamla na gari atakupa kaka ila jitahid kuwa mwema
  12. Nsam

    Ni kweli bei za vocha zimepanda kuanzia Januari 2023?

    Wewe kweli chizi sasa kama vocha zimepanda au kuna ugumu tusiseme
  13. Nsam

    Ni kweli bei za vocha zimepanda kuanzia Januari 2023?

    Zimepanda wakuu hata arusha
  14. Nsam

    Vocha ya sh 1000 kuuziwa 1200 inatafsiri nini!

    Si huko pekee yake hadi arusha jana nimeenda dukani nimeuziwa hiyo bei nikarudisha nikijua napigwa nam nauliza serikali inafanya kazi gani
Back
Top Bottom