Recent content by nsalu

  1. N

    JamiiForums Tanzania HOJA Tunavyozidi kuwaacha Vijana Waendeshe Bajaj na Bodaboda bila kufuata Sheria za Usalama Barabarani, Usalama wa watumia barabara u mashakani

    Aisee hii ni kweli kabisa hali ni mbaya sana bajaji na bodaboda ni hatari hawako makini kabisa yani ajali nje nje ni Mungu anatusaidia tu
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wapo Radio hii ni aibu kwenu japo ni desturi yenu lakini hii ni too much

    Sijawahi kuisikiliza kabisa hiyo redio
  3. N

    JamiiForums Tanzania Je, kuna ukweli kuhusu Phobia na Mental Disorders?

    Mimk hata kupita kwenye darajq naogopa hadi mtu anishike mkono, kuendesha gari naogopa, kutembea kwenye ngazi za umeme siwezi naona naanguka kabisa. Hiyo ndiyo phobia nadhani
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ssebo hakujenga nyumba Dar?

    Makamu wa Rais alikosa nyumba? Au
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ssebo hakujenga nyumba Dar?

    Hata mimi kuishi peke yake kumenishangaza. Halafu sikujua kama alikuwa na mke
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kuzidi kiwango Chembe hai nyekundu za danu

    Asante Nimewasiliana naye amesema hana tatizo lolote la mapafu ila ana presha ya muda mrefu sana.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kuzidi kiwango Chembe hai nyekundu za danu

    Yanasaidia hilo tatizo?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kuzidi kiwango Chembe hai nyekundu za danu

    Asante sana kwa ushauri tutaomba hivyo vipimo
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kuzidi kiwango Chembe hai nyekundu za danu

    Wanajamvi mzazi wangu anaumwa amefanya vipimo imeonyesha chambe hai nyekundu za damu zimezidi. Daktari wake anasema chanzo hakijulikani kwa hiyo hata matibabu sahihi imekuwa ngumu. Naombeni mwenye uelewa na hili eneo anishauri mzazi wangu apate tiba gani akae sawa.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa ukishindwa kupanda ndege basi tena

    Mtoto wa mama Lichadi 😀
  11. N

    JamiiForums Tanzania Askofu Ruwai'chi: Tusiwe Wakatoliki wa Vijora na kuhongwa

    Kumbuka hawajalazimishwq
  12. N

    JamiiForums Tanzania Hivi hili roboti la Bunge lilikwenda wapi?

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  13. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho afariki dunia

    Mbona wamemsifia sana jana kuwa alikuwa mcha Mungu anafunga kila siku na kutoa sadaka kwa mahitaji pamoja na kusaidia kanisa Yani walivyomuelezea kuhusu kuwa mcha Mungu hadi walikuwa wanamuita katekista. Nachoka mimi nachoka
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini TISS wapo msibani kwa Marehemu Mhagama, na kwa kujificha?

    Mama Kodi ni nani tena msaada tafadhali
Back
Top Bottom