Ssebo hakujenga nyumba Dar?

Ssebo hakujenga nyumba Dar?

Nimeshangaa msiba kuwekwa kwa wakili msomi mwingine badala ya Nyumbani kwake. Hii imekaaje Wadau? Au mambo ya apartment kama Le Mutuz?
Dennis alipokuja kusoma UD kutoke UG alipokelewa na Adv Magai kama family friend wao na aliishi hapo kwa muda akiwa UD na baadaye kuanza kazi
Alikuwa na makazi yake Kunduchi ambapo msiba ulianzia
Baadaye familia ya Magai ikahamisha msiba kupeleka kwake Mikocheni kama sehemu ya familia na kwa heshima ya marehemu
 
Kuna mzee alikufa akiwa anakaa nyumba ya kupanga tena ile nyumba ya wapangaji wengi,
Ikabidi msiba ufanyikie uwanja wa mpira ilikuwa fedhea sana kwa familia yake.
Nyumba inasitiri vitu vingi sana
 
Watanzania mnaamini sana katika nyumba kama kobe harafu zimewatia kwenye wimbi la umasikini kwa kutaka sifa ya kuwa na nyumba huku uwezo mdogo badala ya kuendeleza biashara unatoa hela Dukani unapelela kwenye nyumba baadae unaenda tena NMB wakupe mkopo wa riba kubwa inapelelea nyumba hiyo kuuzwa tena..
 
Sio kila mtu anaweza kufanya biashara,wengine wapo kwa ajiri ya kutumikishwa tu hao nyumba kwao ni muhimu zaidi.
 
Sio kila mtu anaweza kufanya biashara,wengine wapo kwa ajiri ya kutumikishwa tu hao nyumba kwao ni muhimu zaidi.
Naongea huku nina ushahidi nimewalipia baadhi ya ndugu kiasi cha fedha walichoshindwa kulipa deni mwingine 3m sijui huyu 7m nyumba zilikua zinapigwa mnada ukiangalia hela anayodaiwa haiendani na thamani ya nyumba..
Sema nyumba sio big ishu kwa sababu sio gharama pia kujenga ila wengi wanajenga kwenye mazingira Tata baadae wanazitumia kukopea tu..
 
Watanzania mnaamini sana katika nyumba kama kobe harafu zimewatia kwenye wimbi la umasikini kwa kutaka sifa ya kuwa na nyumba huku uwezo mdogo badala ya kuendeleza biashara unatoa hela Dukani unapelela kwenye nyumba baadae unaenda tena NMB wakupe mkopo wa riba kubwa inapelelea nyumba hiyo kuuzwa tena..
We jamaa umenichekesha sana!!
Halafu Kuna hii ya mwajiriwa anaenda kukopa Bank anaanzisha ujenzi,akinyanyua Boma Tu hela imeisha,huku anatakiwa kulipa Pango huku bank wanamshenyeta!
 
We jamaa umenichekesha sana!!
Halafu Kuna hii ya mwajiriwa anaenda kukopa Bank anaanzisha ujenzi,akinyanyua Boma Tu hela imeisha,huku anatakiwa kulipa Pango huku bank wanamshenyeta!
Mimi hizi mambo nazijua sana pana jamaa nilimwambia usikope hiyo hela peleka pale kwenye lile duka la hardware wanaandika lipa kupitia bank au kopa vifaa vya ujenzi hakunielewa baadae akaja kuuza pagala baada ya kushindwa kulipa deni la bank ikabidi sasa aje na mbinu yangu ndio naona anatoboa tunapowaambia wanadhani hivi vitu tunavisikia kwa watu kumbe vimewakuta watu wetu wa karibu kabisaa..
 
Jamani kuulizs sio ujinga, huyu mtu ambaye msiba wake umekuwa maarufu hivi ni nani? maana ndio namsikia baada ya kufa
 
Jamani kuulizs sio ujinga, huyu mtu ambaye msiba wake umekuwa maarufu hivi ni nani? maana ndio namsikia baada ya kufa
Alikuwa mtangazaji wa EATV, then akahamia EFM/TVE kwa MAJIZZO
 
Hapo tunaona wenye na wasio na nyumba wanatifuana... haya leteni hoja wakuu !!!!
 
Sikujua Ssebo anatokea Lugazi. My other village town.
 
OK asante sana ni kwa kuwa hizo redio za ma Gen Z huwa sisikilizi nimgekuwa nimemfahamu
Nakuelewa mkuu. Ni kweli, ni mpaka uwe msikilizaji ama mtazamaji wa hizo media kumfahamu jamaa
 
Back
Top Bottom