Recent content by Nova Kambota

  1. Nova Kambota

    Tafakuri yangu ya Leo…..Joseph Msami wa TBC aombe radhi

    Katika taarifa ya habari ya jana saa mbili usiku mwandishi wa habari mzoefu wa TBC Joseph Msami alisema... "vurugu za CHADEMA huko Arusha"... katika moja ya taarifa aliyoisoma Sasa nikawa nasubiri kumsikia labda ataomba radhi kwa matamshi yake hayo ambayo kwa kujua au kutojua kwake yamemfanya...
  2. Nova Kambota

    Tafakuri yangu ya Leo…..Historia ya mapinduzi ya zanzibar iandikwe upya!

    Leo tunapoadhimisha kumbukumbu ya mapinduzi ya zanzibar ya tarehe 12 january 1964 kuna haja ya dhati kabisa kujihoji usahihi wa historia ya mapinduzi hayo kwa maana ya nani alihusika, nani alikuwa kiongozi wa mapinduzi hayo ili mwishowe tupate historia kamili ya visiwa hivyo vya karafuu kuliko...
  3. Nova Kambota

    Nini hatma ya malumbano ya wanasiasa wa tanzania?

    Wanajamvi wenzangu nauliza hivi nini hatima ya malumbano ya wanasiasa wa Tanzania? Nova Kambota is on JF enjoy his critical arguments and views
  4. Nova Kambota

    Tutafakari kwa pamoja tunahitaji katiba ya namna gani

    Kadri mjadala wa katiba mpya unavyozidi kupamba moto kila kona ya nchi hii ni muhimu sasa tukapiga hatua mbele kwa kuanza kutafakari je tunahitaji katiba ya namna gani? ikzingatiwa kuwa la muhimu sio katiba tu bali katiba bora inayotokana na watanzania wote na inayokidhi mahitaji ya sasa ya...
  5. Nova Kambota

    GE2010 Dr. Slaa akiingia Ikulu viongozi wabovu wasamehewe?

    Jatropha umesoma hii............Tatu kisera CHADEMA ni vigeugeu kwa maana ukiangalia katika katiba yao inaeleza wazi kuwa wao wanafata misingi ya ubepari lakini leo hii wanajinadi majukwaani kuwa watatoa elimu bure na afya bure ilihali wanajua fika kuwa katika ubepari hakuna kitu cha bure...
  6. Nova Kambota

    GE2010 Wanaharakati watoa masaa 72 kwa serikali......

    Ndiyo msanii labda ndiyo kusema umekubali kushindwa kimyakimya hakikisha unajipanga kujibu hoja sio kususa...................ulidhani kila mtu atakubaliana na hoja zako dhaifu?.......au?
  7. Nova Kambota

    GE2010 Wanaharakati watoa masaa 72 kwa serikali......

    we msanii unajua kiswahili kweli? maandamani ndiyo nini?..............je ukipewa jukumu la kuongea utaweza kujiexpress kwa maana humu tu unashindwa .
  8. Nova Kambota

    Fatma Maghimbi huyoooooo!

    ,,,,,,,,,,,,,,Binafsi nitoe angalizo kwa CUF na CHADEMA na hasa CHADEMA kwa maana naona CUF hasa kwa upande wa visiwani wameanza kujirekebisha tena nitoe pongezi za dhati kwa Maalim Seif Sharif Hamad kwa kuona mbali ambapo wengine hawajapaona na bila shaka Mungu atambariki na kumuongoza...
  9. Nova Kambota

    GE2010 Nilikuwa mkereketwa wa CHADEMA lakini nimejitoa

    ,,,,,,,,,,,,,,,,,,Baya zaidi ni swala la CHADEMA kukosa mtandao visiwani tofauti na wenzao wa CUF na ndio maana CHADEMA walihangaika sana kumpata mgombea mwenza mwishowe wakampata mhitimu wa darasa la saba mchuuza samaki wa soko la Darajani Unguja Said Mzee Said ambaye kwa wengi kimtazamo...
  10. Nova Kambota

    GE2010 Dr. Slaa akiingia Ikulu viongozi wabovu wasamehewe?

    Nova Kambota Is Always A gentle Man Feel Proud To Visit His Site, call 0717-709618 or 0783-610926,email;novakamota@gmail.com,,,,,,,,,,,,,Kingine kitakachoimaliza CHADEMA ni swala la Dr slaa kuhubiri kwenye majukwaa kuwa atatoa elimu bure na afya bure lakini mtu huyuhuyu ni mwenyekiti wa bodi...
  11. Nova Kambota

    OMBI MAALUM: Je unamfahamu Anayedaiwa Kubakwa na Makamba?

    ,,,,,,,,,,,,,,,,,,alimtaja pia Evarist Chalali ambaye anaishi uingereza kwa kusema kuwa huyu hana nia njema na Tanzania kwani habari zake zinazochapwa kwenye Raia Mwema zina harufu ya uchochezi.,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,Nova Kambota Is Always A gentle Man Feel Proud To Visit His...
  12. Nova Kambota

    GE2010 Raisi wa Kwanza Duniani katokea Tanzania

    ...............mwishowe wakatae ushabiki na mkumbo badala yake watafute wanachama wa kweli sio wale wapuuzi wa JAMII FORUMS ambao wengi wao wapo nchini Marekani katika miji ya Detroit,Michigani na New York ambao waliondoka Tanzania miaka mingi na huwa hawapigi kura na hawana hamu ya kupiga...
  13. Nova Kambota

    Miaka kumi na nane kitendawili cha upinzani hakijateguliwa Tanzania

    Haya yote ni sehemu ya udhaifu wa CHADEMA na CUF lakini kuna mengi zaidi ya haya hasa kwa upande wa CHADEMA ambao wanaendesha propaganda zisizo na mwelekeo wala ujazo wa kimantiki,kimtazamo,kifikra na kifalsafa, angalia jinsi CHADEMA inavyotumia JAMII FORUMS na gazeti la Tanzania Daima
  14. Nova Kambota

    Nataka kujitoa chadema naomba ushauri

    Hivi wewe nawapasulia unadhani JF sehemu ya kuja hoja za kitoto kama zako hapa ni home of great thinkers bwana na kuna watu watundu wenye uwezo wa kujenga na kubomoa hoja watakavyo so be carefully
  15. Nova Kambota

    Lula wa Ndali ushabiki pekee hautoshi tujadili kwa hoja

    Nimejitokeza tena jukwaani kujibu maoni ya wachingiaji ambao kimsingi wanapotoshana kwa hoja dhaifu , nilidhani watagundua mantiki ya uadilifu wa Dk Slaa lakini wapi hawajagundua au wanaficha ukweli kutokana na sababu zao za kisiasa. Moja hawajui kuwa mkuu wa upadre wa mwanadamu sio kanisa wala...
Back
Top Bottom