Dr. Slaa akiingia Ikulu viongozi wabovu wasamehewe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Slaa akiingia Ikulu viongozi wabovu wasamehewe?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by ZLATAN, Oct 18, 2010.

 1. ZLATAN

  ZLATAN Senior Member

  #1
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  NDUGU ZANGU WA-TZ, SITOCHOKA KUTOA DUKU DUKU LANGU JUU YA KIONGOZI HUYU MUMTAKAE NYINYI.

  NAJUA WENGI MTACHUKIZWA, LAKINI HII NI HAKI YANGU YA MSINGI YA KIKATIBA, HIVI KIONGOZI MWENYE VISASI KAMA HUYU WA NINI? AU TAARIFA HII MMEIFUMBIA MACHO NA MASIKIO KWA MAKUSUDI?

  HUYU SLAA MNAEDHANI ATAKUWA RAIS, NDIYE ALIYEMCHIMBIA MKWARA NDUGU MWAKIPESILE.

  KAMA NDOTO ZAKE ZA KUINGIA IKULU ZILIVYOMTUMA, AKAAMUA KUMCHIMBIA MKWARA KWA KUONA NI KIKWAZO KWAKE.

  NNA MASHAKA SI MWKIPESILE TU ATAKAYETAFUTA PA KUPITA, WATANZANIA LUKUKI WATAKIONA KWA UFEDHULI ATAKAOUFANYA.

  MPAKA WALOM-SUPPORT KATIKA JF WATAJUTA ILA ITAKUWA TOO-LATE.:nono:

  LAKINI WADAU WA JF MSIOGOPE, KAKA/BABA MDOGO/MJOMBA 'ENU HATOINGIA IKULU.

  KIKWETE NDIO CHAGUO LA WA-TZ WENGI.

  CHAGUA CCM, CHAGUA KIKWETE.
   
 2. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135

  pongezi kwako hatutaki Rais mwenye visasi.Hizo ni kampeni za vitisho. Ndio maana nasema afadhali ya Dr Kikwete
   
 3. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Ndiyo, wale wachafu wote itabidi watafute pa kwenda kama si pa kupelekwa na serikali mpya. Dr. anaonesha atakavokuwa siriaz na kazi ya kuongoza. Hatakubali mauzauza ya katika utwala wake. Na huyu ndiye kiongozi tutayemtaka; atakayerudisha heshima ya taifa letu na uwajibikaji.
   
 4. MWEEN

  MWEEN JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2010
  Joined: Feb 6, 2010
  Messages: 472
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Yeah,

  If you are one of the fisadis, both, in misuse of power, OR misappropriation of our tax money, find a place and dig yourself in because we are coming for you. AND, there are many of those in this country. The money we recover will be funding our free health and education programmes.
   
 5. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Hii ni timu ya Malaria sugu au??
  chagua Dr.Slaa, chagua chadema kwa kukomesha mafisadi wanao taka kuonewa huruma huku wana wanyonya watanzania!!

  Muulize JK Babu seya yuko wapi???????????kwanini???
   
 6. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  It is a mark of an educated mind to be able to entertain a thought without accepting it!NANI ASIYE KUWA NA VISASI?
   
 7. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kuna watu humu wametumwa na wengi wao wamejiunga kati ya September na sasa, wote wanafana wanataka kumwaga sumu ambazo kwa bahati nzuri au mbaya kwa watz wameshazishitukia....
   
 8. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,920
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Ukweli unabaki pale pale. Kama kuna anaye faidika na Uzembe wa serikali ya sasa kwa namna moja au nyingine, kutokana na uzumbe wa viongozi waliopo, hatamchagua Dr. Slaa.
  Wale wote waliochoshwa na serikali hii, na wapenda maendeleo watamchagua Slaaa.
   
 9. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,920
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Wabinasi ndio nyie. lazima utakua unaifaidi hii serikali kwa namna moja au nyingine.
   
 10. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,856
  Likes Received: 11,977
  Trophy Points: 280
  Si Mwakipesile tu hata wewe kama ni Fisadi anza kutafuta pa kwenda.
   
 11. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Ninavyofahamu mie ni kuwa, Mwakipesile alifanya NJAMA za kukatwa UMEME kwenye hotuba mbili za Dr. Slaa huko Mbeya. Hii ilikuwa ni CHUKI ya waziwazi kwa kiongozi mkubwa namna hiyo au tuseme Muwakilishi wa Rais katika Mkoa wa Mbeya. Sasa unataka kusema Slaa mwezi ujao atataka kuwa na Muwakilishi wa namna hiyo?

  Heri angelisema maneno mabaya lakini vitendo vyake viko safi. Ila yeye kama kawaida yake Mwakipesile, hasemi kitu ila ana KU-Do. Na P-Square wanaimba "If you do me, i do you......." Tanzania si Mabwege tena eti akugeuzie shavu la tatu, maana ukweli pia ni kuwa HALIPO.
   
 12. N

  Nyumbu- JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 969
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Mwakipesile atakumbukwa kwa kuwageukia ndugu zake na kuwa kibaraka wa wahujumu uchumi wa mkoa wa Mbeya kwa kulipwa fadhila ya ukuu wa Mkoa. Watu wa Mbeya hawatakaa wamsamehe hadi aende kaburini. Na ikiwezekana akazikwe Dar kwani watu hata kaburi lake hawatataka kuliona.
  Ni mfano mbaya sana wa wasaliti duniani!
  Hata mimi siwezi kumsamehe mtu mbaya kama huyu....nashukuru Mungu siku zake zinahesabika........endapo tu Dr. Slaa atachukua nchi, Mwakipesile atapata shida sana, labda akaombe kazi ya ushauri kwenye makampuni ya kina Mulla mbalari!
   
 13. M

  MZEE SERENGETI JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Sijui kama anayakumbuka aliyo wafanyia wananchi wake
   
 14. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mimi sioni hoja yako ya msingi hapa!Nafiri kichwa chako kina matatizo jichunguze sawa sawa!
   
 15. Nova Kambota

  Nova Kambota Member

  #15
  Oct 18, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 16. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  No......Chagua wewe
   
 17. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2010
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Umerudi? karibu utumegee hayo uliyotumwa kuyasema.
   
 18. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  nchi haiwezi linganishwa na taasisi ndugu....rasilimali zao ni tofauti kabisa....mfano wako ni duni sana....yeye kama mweneyekiti hahusiki na uendeshaji wa ccbrt hivo hawezi sema watoe huduma bure....kwa rasilimali zipi?...nchi hii ina rasilimali nyingi zaidi ya ahata baadhi ya wanaojiita wafadhili wetu....yes inawezekana huduma kupatikana bure
   
 19. tartoo

  tartoo Senior Member

  #19
  Oct 18, 2010
  Joined: Jul 2, 2010
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Gurtu = Beberu

  ccm tupaaaaa kuleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee slaa for life:dance:
   
 20. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kawapandikize chuki watu wasiojua ukweli, hata mimi ningekuwa Rais mpenda haki na maendeleo ya nchi yangu ...jambo ambalo ningeanza nalo endapo ningeshika dola ni kufanya restructuring ya serikali; maana yeke ni hii; viongozi wote wasio waadilifu na ambao kuna ushahidi wa kutosha ya kwamba wamefanya ndivyo sivyo kwa kutumia nafasi zao wangechukuliwa hatua za kisheria mara moja! kwani mwakipesile ni nani hasa? Kama ni mjomba wako umetumwa uje upate support ya wana-JF hiyo sahau ndugu!
   
Loading...