Tafakuri yangu ya Leo…..Joseph Msami wa TBC aombe radhi

Nova Kambota

Member
Nov 12, 2009
62
1
Katika taarifa ya habari ya jana saa mbili usiku mwandishi wa habari mzoefu wa TBC Joseph Msami alisema... "vurugu za CHADEMA huko Arusha"... katika moja ya taarifa aliyoisoma
Sasa nikawa nasubiri kumsikia labda ataomba radhi kwa matamshi yake hayo ambayo kwa kujua au kutojua kwake yamemfanya kuonekana anatumiwa kisiasa kwa maana katika kipindi hiki kigumu cha mitafaruku ya kisiasa tunachopitia kama taifa hasa baada ya kile kilichotokea Arusha ni busara kuwa wa kweli na kujikita zaidi katika kutafuta amani na kuchukua tahadhari ili hali kama ile isijitokeze tena hivyo Joseph Msami kama mwanahabari mzoefu hakupaswa kusema alivyosema heri angetumia neno vurugu za kisiasa , hivyo nachukua nafasi hii kama mpenda amani wa taifa kumtaka Joseph Msami ajitokeze hadharani na aombe radhi kwa matamshi yake ya jana.

Habari na Nova Kambota
Mzumbe university Morogoro
0717 709618 au 0766 730256
 
Mzee kina Msami wako njia panda, hawajui wafuate mkondo upi, wa habari leo na Uhuru au wawe fair kama walivojitahidi kipindi cha kampeni ambayo imesabisha TIDO apigwe chini. Sijasikia Shabani Kissu ampaye aliendesha kipindi cha mcakato majimboni amefanywa nini.
 
Katika taarifa ya habari ya jana saa mbili usiku mwandishi wa habari mzoefu wa TBC Joseph Msami alisema ... "vurugu za CHADEMA huko Arusha"... katika moja ya taarifa aliyoisoma
Sasa nikawa nasubiri kumsikia labda ataomba radhi kwa matamshi yake hayo ambayo kwa kujua au kutojua kwake yamemfanya kuonekana anatumiwa kisiasa kwa maana katika kipindi hiki kigumu cha mitafaruku ya kisiasa tunachopitia kama taifa hasa baada ya kile kilichotokea Arusha ni busara kuwa wa kweli na kujikita zaidi katika kutafuta amani na kuchukua tahadhari ili hali kama ile isijitokeze tena hivyo Joseph Msami kama mwanahabari mzoefu hakupaswa kusema alivyosema heri angetumia neno vurugu za kisiasa , hivyo nachukua nafasi hii kama mpenda amani wa taifa kumtaka Joseph Msami ajitokeze hadharani na aombe radhi kwa matamshi yake ya jana.

Sijaelewa kitu! Copy n paste bila editing ni sawa na kwenda haja bila.....................kuchamba..............
 
"Baada ya taarifa ya habari ya jana saa mbili usiku mwandishi wa habari mzoefu wa TBC Joseph Msami alisema vurugu za CHADEMA huko Arusha katika moja ya taarifa aliyoisoma" Ulimsikia wapi ili hali alisema BAADA ya taarifa ya habari?

Hivi mtoa mada ni msomi wa Chuo Kikuu Mzumbe au anaishi jirani na chuo husika, naomba msaada?
 
nahisi unaishi changarawe ila sidhani ka unasoma Mzumbe................. wewe umetuaibisha wasomi tuliopitia hapo, hebu rekebisha thread yako maana haina objective.
 
nahisi unaishi changarawe ila sidhani ka unasoma Mzumbe.................ng'ombe wewe umetuhaibisha wasomi tuliopitia hapo,hebu rekebish thread yako mana haina objective.

'Umetuaibisha' na sio hivyo ulivyoandika wewe, sasa nahisi na wewe pia umewaaibisha wasomi wenzio waliopita pale Mzumbe
 
Katika taarifa ya habari ya jana saa mbili usiku mwandishi wa habari mzoefu wa TBC Joseph Msami alisema ... "vurugu za CHADEMA huko Arusha"... katika moja ya taarifa aliyoisoma
Sasa nikawa nasubiri kumsikia labda ataomba radhi kwa matamshi yake hayo ambayo kwa kujua au kutojua kwake yamemfanya kuonekana anatumiwa kisiasa kwa maana katika kipindi hiki kigumu cha mitafaruku ya kisiasa tunachopitia kama taifa hasa baada ya kile kilichotokea Arusha ni busara kuwa wa kweli na kujikita zaidi katika kutafuta amani na kuchukua tahadhari ili hali kama ile isijitokeze tena hivyo Joseph Msami kama mwanahabari mzoefu hakupaswa kusema alivyosema heri angetumia neno vurugu za kisiasa , hivyo nachukua nafasi hii kama mpenda amani wa taifa kumtaka Joseph Msami ajitokeze hadharani na aombe radhi kwa matamshi yake ya jana.

Kaka ukiingia vibaya humu lazima ule za uso...bwahahaha..Pole
 
Mistakes and Typos can happoneen to anyone. Halafu mbona ujumbe unaeleweka (hata bila editing)? Mtoa hoja hakujiita/kujitambulisha msomi - amejitambulisha kama ''mpenda amani wa taifa'' na kutoa address yake. Warders, wapishi, cleaners nk wanapatikana pia ktk hiyo address
 
Binafsi ujumbe wa KAMBOTA nimeuelewa.

Zaidi kosa linaloonekana kwa msoma habari ambae anahitajika kuomba msammaha ni matamshi ya VURUGU ZA CHADEMA HUKO ARUSHA!
 
Kwani ilikuwa na ulazima wowote ujitambulishe kuwa wewe unasoma MZUMBE, so what?, na namba za simu nyingi za nini?
 
Katika taarifa ya habari ya jana saa mbili usiku mwandishi wa habari mzoefu wa TBC Joseph Msami alisema ... "vurugu za CHADEMA huko Arusha"... katika moja ya taarifa aliyoisoma
Sasa nikawa nasubiri kumsikia labda ataomba radhi kwa matamshi yake hayo ambayo kwa kujua au kutojua kwake yamemfanya kuonekana anatumiwa kisiasa kwa maana katika kipindi hiki kigumu cha mitafaruku ya kisiasa tunachopitia kama taifa hasa baada ya kile kilichotokea Arusha ni busara kuwa wa kweli na kujikita zaidi katika kutafuta amani na kuchukua tahadhari ili hali kama ile isijitokeze tena hivyo Joseph Msami kama mwanahabari mzoefu hakupaswa kusema alivyosema heri angetumia neno vurugu za kisiasa , hivyo nachukua nafasi hii kama mpenda amani wa taifa kumtaka Joseph Msami ajitokeze hadharani na aombe radhi kwa matamshi yake ya jana.

Wakuu mvumilieni atakua..lol,sjui alikuwa anajipa promo??
 
Back
Top Bottom