Tutafakari kwa pamoja tunahitaji katiba ya namna gani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tutafakari kwa pamoja tunahitaji katiba ya namna gani

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Nova Kambota, Dec 30, 2010.

 1. Nova Kambota

  Nova Kambota Member

  #1
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kadri mjadala wa katiba mpya unavyozidi kupamba moto kila kona ya nchi hii ni muhimu sasa tukapiga hatua mbele kwa kuanza kutafakari je tunahitaji katiba ya namna gani? ikzingatiwa kuwa la muhimu sio katiba tu bali katiba bora inayotokana na watanzania wote na inayokidhi mahitaji ya sasa ya watanzania.......ni muhimu sasa tukautanua mjadala wetu kwa kuanza kutazama upande wa pili wa aina ya katiba tunayoitaka kwani no one can stop the storm katiba mpya ni lazima tu .
  Nova Kambota is back on JAMII FORUM enjoy his views and logical arguments
   
 2. Bingwa wa hoja

  Bingwa wa hoja Member

  #2
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  It seems kijana Nova Kambota umebadilika sana siku hizi kwa maana wewe si ndio kale kajamaa kalikokuwa kanajidai kuwa kalisoma ilboru halafu kakawa kanapotosha watu kwa kuwa kashabiki ka mafisadi CCM, halafu kakawa kanaponda JF na CHADEMA kupitia blog ya www.novadream.blog.com sasa kama umebadilika na kuanza kujadili mambo ya kitaifa good kijana ila kama umetumwa au unabip koma mapema bwana mdogo
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Labda kawa Sauli!
   
Loading...