Recent content by NOTREGISTERED

  1. N

    Interview Idara ya Maji Mbeya trh 24 January tukutane hapa

    interview ilikuaje mkuu? naomba hints nina interview jumatatu
  2. N

    Gharama ya kujenga chumba na sebule master

    mwaka na miezi kadhaa imepita toka post yako hii. Naomba mrejesho ulifanikiwa au ndio ulikatishwa tamaa? nategemea mrejesho wako ili na mimi nifanye maamuzi kama yako.
  3. N

    Mwanaume mwenye upungufu wa nguvu za kiume au uume mdogo awe mume

    Mungu atimize haja za moyo wako shosti!
  4. N

    Nina jinsia mbili, natafuta mpenzi

    See this Video from Uganda: hii video hatasijui kwanini nimeiangalia. Imeniogopesha aisee.
  5. N

    Nafasi za kazi Kibaigwa Flour Supplies

    naomba job description za accountant plz!
  6. N

    Jinsi ya kugandisha maziwa ya mgando ili yasitengane na maji

    best lishe ndo inafanya maziwa yasigande vizuri au?
  7. N

    Jinsi ya kugandisha maziwa ya mgando ili yasitengane na maji

    Waungwana habari za leo. Kwa wale wafugaji wa ng'ombe na wajuzi wa maziwa, naomba kujulishwa njia nzuri ya kugandisha maziwa ambayo hayatajitenga na maji. Kwa sasa nagandisha maziwa kwa kuyachemsha afu yakipowa nayaweka kwenye ndoo safi nachanganya na maziwa mgando kwa ratio kama ya lita 5...
  8. N

    Kwanini condoms zinakaa tatu?

    hahahaha! may be mechi moja kwa wastani inatakiwa magori matatu!
  9. N

    Mwanamke anayejitambua, wanted for marriage

    namba nane imenikosesha hii "vacant", hasa hasa baada ya neno 'and"
  10. N

    Natafuta mume anayetaka mwanamke bikira

    nina nia ya dhati, asante kwa namba. ila ninaomba tuanze na pm kwanza, hii pm ni kwa ajili ya kufahamiana vizuri baada ya hapo namba za simu zinaweza kutumika.
  11. N

    Natafuta mume anayetaka mwanamke bikira

    nashukuru umenielewa na kunisaidia kumwelimisha huyo mtu, watu sijui tukoje?
  12. N

    Natafuta mume anayetaka mwanamke bikira

    ukitaka tupime kwa daktari nipo tayari.
Back
Top Bottom