Interview Idara ya Maji Mbeya trh 24 January tukutane hapa

Interview Idara ya Maji Mbeya trh 24 January tukutane hapa

Sio Utumishi ni ya idara ya maji mkuu
Hizi sikuziona mkuu, ningeona na mimi ningeomba!!

Tulifanya interview ya utumishi daah wale jamaa sio kwa kweli... Ila kama hawahusiki na hii interview yenu basi wenda ikawa vizuri!!
 
Sasa 45000 tu kwa ajili ya Hotel kama anauhakika na ajira hapo sawa maana sipati picha unawekeza kiasi hiko alafu nafasi zina watu tayari inauma
anahitija sehemu nzuri ya kulala kwani tukimuelekeza sinde kuna lodge nyingi tu
 
Unarnda interview kwa gharama yako na usafiri wako unaenda lala sehem expensive!!!!!!

Unatakiwa kulala sehem isiyozidi 50,000

Ilakama wanalipia wao, watakuchagulia hotek
 
Unarnda interview kwa gharama yako na usafiri wako unaenda lala sehem expensive!!!!!!

Unatakiwa kulala sehem isiyozidi 50,000

Ilakama wanalipia wao, watakuchagulia hotek
Sio Taasisi zetu hazilipi sikuhizi gharama za usaili kila kitu mwenyewe anyway ila kama yuko vizuri kifinance alipe tu hata 5 stars kama zipo mbeya
 
Mmoja wapo ajitokeze nitamsaidia malazi saa coz nakaa jirani kabisa hapa na idara ya maji pia itamsaidia kuwahi cku ya interview na gharama...... Am serious
 
Wale wote tulio itwa interview idara ya maji Mbeya tukutane hapa. Wengine hatujawahi fika Mbeya kabisa.
Kama kuna wenyeji mtuambie sehemu nzuri ya kufikia na maelezo mengine kama nauli toka Dar to Mbeya na Bus zuri.. Asante
Aaaaaaaaaah nyomii ya watu hapa
 
Back
Top Bottom