Natafuta mume anayetaka mwanamke bikira

Natafuta mume anayetaka mwanamke bikira

Wadau changamkieni hapo Virgin imejitangaza Lol... ningechangamkia na mimi ila...
 
Hakuna cha ubkra haopo ni utapeli tu.. Nimetumiwa sms na mtu anahoji eti wewe unatafta mchumba? Nilipojibu ndio akasema sawa, najaribu kutuma mpesa linakuja jina la kharid mganga.. Naangalia wasap profile ni picha ya mwanamme.. Huyu jamaa atakuwa ni chasies no shoga.
 
njoo kwangu...
umri wangu miaka 31 Mimi pia ni mwanaume bikira yaani dudu yangu haijawahi kutumika kabisa ila bado sijatahiriwa sijui ntakufaa!
asante kaka, mimi hiyo sihihitaji ila najua kuna madada wanapenda izo
 
ZA JIONI WADAU.
NAJUA KUA WANAUME WENGI SIKU IZI HAWATAKI WANAWAKE BIKIRA, KWAIYO HII NI KWA WALE TU WANAOHITAJI MKE BIKIRA. Sifa zangu, miaka 27, nina kazi inayoniingizia kipato, mkristo.
Sifa za mume ninayemtaka miaka kuanzia 29 mpaka 34, mkristo, awe na kazi au shughuli inayomwingizia kipato. KASHFA NA KEJELI NAOMBA ZISIWEPO, HII NI KWA AJILI YA WALE WENYE MALENGO NA UHITAJI WA MTU KAMA MIMI, NJOO PM ILI TUWEZE KUFAHAMIANA VIZURI.
GOD BE WITH YOU ALL!
Kwani shingapi vilee?
 
Wewe unaetafta mme.. Kwa dhati na ukweli wa moyo wako, nitaft kwa no.. 0789211111 mimi ni kijana mwenye miaka34.. Nafanya biashara na naishi mwanza. Ni mkristo.. Karibu tutafte maisha.. Kama kweli una nia hiyo toka moyoni.
 
acha ushamba wewe hivi vitu vipo sana nchi za wenzetu tembea uone na ndoa zinadumu kama kawaida,mfano mzuri ni wana Jf walioana kwa kutana humu wapo wengi tu.
 
Wewe unaetafta mme.. Kwa dhati na ukweli wa moyo wako, nitaft kwa no.. 0789211111 mimi ni kijana mwenye miaka34.. Nafanya biashara na naishi mwanza. Ni mkristo.. Karibu tutafte maisha.. Kama kweli una nia hiyo toka moyoni.
nina nia ya dhati, asante kwa namba. ila ninaomba tuanze na pm kwanza, hii pm ni kwa ajili ya kufahamiana vizuri baada ya hapo namba za simu zinaweza kutumika.
 
Bikra wapi sasa, dadavua coz siku hz watu tunataka kote kuwe bikira, isije ukatunza huko kumbe kule 0714.... hakuna kitu.
 
NOTREGISTERED Inaonekana we ni mtamu kama Mcharo! Vingezo vya umri vimenitupa nje ya 18
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom