Wananchi wenyewe wako wapi wanaodai katiba mpya. Au ndio hawahawa waliopo sambamba na arobainin ya mtoto wa zuchu, 30 ya bongo fleva? As long as Dar jiji kubwa unaweza kupata msosi wa buku mbili na ukashiba sahau katiba mpya
Hakika. Hata mahakamani unaona kabisa Ile discipline Kwa ajili ya majaji haipo. Unaweza kuwa na Hali kabisa lakini zile kebehi wakiwa mahakamani atajikuta kesi inaishia mahakama ya rufani(rufaa)
Siku zote ukitaka kuua hakikisha unawachonganisha wagombane wenyewe Kwa wenyewe. Hata Lisu kutoa zile kauli za kukinukisha ilikuwa ni kosa kubwa sana hata kama ilikuwa sio Nia kamili lazima wajuwe kuwa wawe makini sana na nini wanaongea maana ni watu wanaowindwa sana wakosee hata Kwa maneno.
Siku Simba wakitambua kuwa mwenyekiti wa wanachama lazima awe ametokana na maamuzi ya mwekezaji ndio mtasahau machungu mnayopitia. Yanga wanafanikiwa Kwa sababu GSM kamuweka Hersi pale
Hata Simba walipochukua kombe mara nne mfululizo ni Kwa sababu Yanga walikuwa na uongozi mbovu wakawa wanategemea bakuli. Kwa uongozi huu wa Yanga Simba wanatakiwa watembee kisasa la sivyo alichosema Manara watachukua kombe mara kumi mfululizo naliona
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.