Wakuu nadhani shetani yupo kazini, mzee wangu. Anafanya kazi mkoani mimi nipo mkoa mwingine anakuja mara moja au 2 kwa mwezi.
Tuna miaka 18 katika ndoa sijawahi kuchepuka, mwanzoni nilikuwa natongozwa nakataa hapo hapo, ikafikia muda nikitongozwa nakubali ila nawapotezea mpaka wanakata...
unasema tu hayajakukuta oa kwanza ndio useme ndoa zina mambo mengi sana. unaweza ukawa unasema hivyo kisa hayajakukuta, hivi mfano umeoa na unafamilia na ndio umekosa kazi mama ndio anasomesha wanao na kufanya mule humo ndani, unamfukuza akuachie Watoto au unavumilia? ndoa zinahitaji uvumilivu...
huyu mwanaume ni mtu wa ibada sana huwezi kuamini kama anaweza kufanya huu uchafu. kipindi yupo katika uchunguzi walikuwa wanaenda Kanisani wote lakini hakuwahi kuacha kushiriki mwili wa kristo kwa wale wakatoliki wanaelewa mtu anakomunika akiwa katika hali gani.sasa kweli inawezekana kasha tegwa.
Tumpe ushauri huyu dada.
Ndoa yangu ina miaka 7 ila uhusiano wetu una miaka11. Nina watoto 2 na sasa ni mama kijacho. Mwaka Jana mwishoni nilipata kuwashwa ukeni nikaenda kupima nikaambiwa nina ugonjwa wa zinaa, nikatibiwa na nikaambiwa na mume wangu akatibiwe, nikamwambia hali halisi...
Harry Potter and the Philosopher's Stone by JK Rowling (Bloomsbury, 1997)
The Colour of Magic by Terry Pratchett (Collin Smythe, 1983)
The Blue Guitar by David Hockney (Petersburg Press, 1976)
One Flew Over the Cuckoo's Nest by Ken Kesey (Viking, US, 1962)
The Great Gatsby by F Scott...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.