Kwanini mwanaume ukikosa kazi mwanamke anakusimanga sana?

Mwanamke wa hivyo sikai nae kwakweli. Uzuti mmoja huwa yanawaharibikia huko wanapoenda. Na vile Mungu si mwanadam anakuinua tena kutoka mavumbini hadi kuketi na wakuu, unanawiri upya.

Wakishasikia flani amepata maisha mazuri, huwa wanarud kwa kasi na misamaha mingi.


Ni kweli ila mimi kama mwanamke ni msaliti kaniacha kwa ajili ya hela za pipi....hata iweje simkubali hata akirudi analia na machozi ya damu.
 
hahaha haipo kwangu...sitaki kupiga visu au bastola niishie jela kwa mambo ya kipuuzi, ntakusaidia kufungasha nguo zako then ntakuitia teksi au boda boda ntamlipa then ntakuaga uende salama
ntarudi ndani kwangu na kufunga mlango.
hahaha case closed.
 
Nyie ni mashuhuda. Watu wanaanza wakiwa wanalala chini, leo mambo yakiwa murua, , raha zote wanapewa michepuko. Kwa sababu unampenda sana mumeo na hutaki kumuacha na hutaki aangamizwe, unamuomba tu Mungu apunguze hizo hela so that peace could reign. Kama pesa ndo zimeondoa furaha ya ndoa yenu, kwa nini Mung asizichukue tu?
C.c. Evelyn Salt
Si wanaume wote wenye pesa huwa na michepuko hata ambao hawana fedha na maisha mazuri wana michepuko
 
unajuaje kama alimjali saana labda uwe wewe lakin kaa ujue nyumba zna mengi na matatzo uwa yanaangaliwa pande mbili so muache apambane na ndoa yake
Aliyepatwa na mkasa ni jamaa yangu wa karibu na yeye ndo kanieleza yote haya na pia nimeshuhudia mwenyewe
 
Mie sijaoa mkuu , wenda nikawa sijui yaliomo ,ila ichukue iyo toka kwangu , Kamwe sitokaa niishi chini ya magoti ya mwanamke awe ni mchumba, awe ni mke .

Naamin naoa mtu mzima, mwenye akili, anayejua maisha na tafasiri zake kwa kila aina, anayejua maisha yana kupanda nakushuka, anayejua maisha yanachangamoto zake , anayejua kua Akikubali kuoana namm ili kuifanya familia na kusaidiana katila kupambana na changamoto.

Sasa basi,kwann wakati niko vzur unipendeeeeeeeee na uniheshimu sanaa ,, alafu leo nmekwama ,usiniheshimu tena?? Usinipende?? Usikute hapo na mzigo hapewi au anapangiwa?? ALAFU NIENDELEE KUA KONDOOO???

Brother , sijaoa ila uo ujinga sitokaa niuruhusu . Kamwe haitokaa itokeee mwanamke wangu awe sehemu ya mimi kuiona dunia sio mahali salama kwangu ...NAKAZIA KAMWE HAITOKAA ITOKEEE!!!. sina moyo mwepesi kiasi iko !!
unasema tu hayajakukuta oa kwanza ndio useme ndoa zina mambo mengi sana. unaweza ukawa unasema hivyo kisa hayajakukuta, hivi mfano umeoa na unafamilia na ndio umekosa kazi mama ndio anasomesha wanao na kufanya mule humo ndani, unamfukuza akuachie Watoto au unavumilia? ndoa zinahitaji uvumilivu sana. omba yasikukute kaka.
 
Niamini 90% ni machangu yantuuzia k tu, ukikosa pesa huna lako.
Kuna jamaa yangu akikosaga pesa ananyimwa k, anaambiwa kwa chakula gani cha maana umenilisha hadi nikupe uchi?
Tulisuluhisha kesi ya ajabu mno.
Wazee walisema mkeo sio ndg yako hawakukosea
Aisee...duuh!!!
 
Back
Top Bottom