Mo mp5
Nikupe pole sana tena sana kwa mambo kadhaa.
Mosi kwa kufiwa na mdogo wako.
Pili, umepewa ushauri wa kila aina lkn hata sasa wewe mwenyewe hujui ushike upi uache upi?
Tatu, naona hujui kbs madhara ya ndoto za namna hii.
Kuna watu wamesema jambo zuri sana, wamesema omba. Lkn sijui kama...
Hiki kisa kimenikumbusha story ya Esau na Yakobo. Hawa jamaa mbali na kwamba wao ni tumbo moja, walikuwa mapacha na walikuwa watata toka tumboni. Na baada ya kuzaliwa waliingia kwenye mgogoro mgumu sana. Lkn Daudi asiyekuwa wa uzao wa Sauli alijikuta kweny urafiki mzito sana na Yonathani mpaka...
Hivi hawa haki za binadamu, wameumbwa na Mungu kweli au ni mapepo fulani hivi ktk mwili yamekuja kusumbua wanadamu. Kama wao wanaona ni haki wakafanye binafsi yao huko wawaache waganda salama. Shame
Hizi ndoto zilinitesa sana, naujua mchongo mwanzo mwisho. Si ndoto za kupuuza hata kidogo.
Nimewaona watu wakisema, ukimpenda au akikupenda basi kimaisha umetoboa. Ni kweli lkn maisha yenye mateso na mwisho wake ni kwenye lileshimo la moto. Naongea na mtu ambaye Roho Mtakatifu yuko ndani yake...
RAYMANU254
SPIRITUAL HUSBANDS AN WIVES.
Nataka kuzungumzia somo linalohusu MAJINI MAHABA, kuhusu majini Mahaba kwa Sasa limekuwa tatizo katika jamii yetu.
Kwanza Kabisa tambua kuwa hizi roho zimegawanyika katika makundi matatu.
1-Zinazokuwa kama wanaume
2-Zinazokuwa kama wanawake...
RAYMANU254
SPIRITUAL HUSBANDS AN WIVES.
Nataka kuzungumzia somo linalohusu MAJINI MAHABA, kuhusu majini Mahaba kwa Sasa limekuwa tatizo katika jamii yetu.
Kwanza Kabisa tambua kuwa hizi roho zimegawanyika katika makundi matatu.
1-Zinazokuwa kama wanaume
2-Zinazokuwa kama wanawake...
Unajua lazima tukae chini tufikiri zaidi.
Hebu waza, huyu mtu ni Rais wa cwt, mwingine ni katibu mkuu...ok forget baadhi ya hoja ambazo naziona kwa baadhi ya wajumbe, mmoja akidai wakaguliwe n.k. sasa mtu ana cheo kama hiki, unampa ukuu wa wilaya, ndio kusema nchi haina watu mbadala wa kuwapa...
Wale wanaohukumiwa kwenda jela, ni kwamba huwa wameshindwa kulipa faini au?
Kila siku matangazo ya rushwa lkn kila kukicha, rushwa inachukuwa sura mpya. Najaribu kutafakari au labda basi taarifa haijitoshelezi, sasa pesa aliyopokea $2500 yenyewe kwa sasa iko upande gani? Uwiano wa $2500 kwa...
Kwa uzoefu wangu wa kusikiliza kesi mbalimbali, ukipewa story ambayo imeegemea upande mmoja tu tena mlalamikiwa akiwa hayupo, weka pozi hapo, upate upande wa pili. Kisha sasa tumia nguvu zako zote, akili zako zote. Hapa tunapoteza muda tu. Si rahisi sana ukazuiliwa kufanya mtihani tena wa taifa...
Tunaumia na hizi tozo halafu kuna mpumbavu mmoja anajichotea kirahisi tu. Serikali imeshindwa kudhibiti myanya ya matumizi mabaya ya pesa na sasa tunaumia sisi. Kesi za hawa jamaa huwa zinaishia hewani tu. Mtu anaiba milioni 20 halafu eti mahakamani anapigwa faini ya mil 4 haingii akilini kbs.
Watu 54 out of 60m wanatosha kutuhakikishia kwamba kuna mlipuko wa surua nchini? Nilisikia ile kauli kwamba tunajenga vituo vya afya nchi nzima, huku niliko kwakweli sijaona ujenzi wowote, si tu mahali nilipo ila hata maeneo ya jirani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.