Karibu sana mkuu, huko ndo home sweet home. Japo kuna utajiri wote huo lakini wanainchi wanaishi maisha ya kawaida ya umasikini ingawa sura zao zina furaha muda wote.
Nimetizama
1. Stoning of Soraya
2. Gifted hand
3. Something the Lord Made
4. Why did i get married 1&3
5. Listen from your heart
6. The diary of black mad woman
Hayo yote ni muhimu kuyazingatia kwenye ulimwengu wa kufikirika.
Lakini katika ulimwengu huu wa halisi unachotakiwa kufanya ni kujenga uhusiano na employing organisation ikiwezekana fanya namna (mwenye kuelewa na aelewe) lakini kikubwa zaidi tafuta watakaosimamia usahili washawishi hata kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.