Recent content by noshi v

  1. N

    Watanzania ni watu wa ajabu sana!, Wanamwaminije Gwajima kuliko Rais wao?

    Mwambie na yeye aje ajibu basi kwa kuleta ushahd au kulia ndio suluhu Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
  2. N

    Wizara ya Elimu yawaasa vijana kutumia Elimu kujiajiri

    Haya jamaa bora wangekuwa wanafundisha masomo ya ujasiriamali.kutufundisha vitu ambavyo havifai kujiajiri inakuwa shida sana. Na kazi mtu anayoweza kufanya labda umachinga nao ukifanya unakamatwa maana hakuna maeneo rasimi ya kufanyia biashara. Wakitenga wanaweka nje ya mji yaani...
  3. N

    Sintatafuta tena Girlfriend humu Mtandaoni_Nimejifunza!

    Kwan kuna mtu alikulazimisha.km ulivyoanza kimya kimya ondoka hivyo hivyo.aliekuambia huku wapo wazuri nani ? Hahaaaaaaaaaaa. Pole dogo yamekukuta na usirudie tena
  4. N

    Ushauri: Nataka kuwa nae lakini bibi yake anataka kumkabidhi mikoba ya uganga!

    Chunga sana maisha yako Mzee utakuwa ndondocha. Ungeuliza umechaguliwa kufanyaje au kuoa jini au kutolewa kafara.sasa jidai mroho utaisoma namba nakwambia
  5. N

    Nani anafaa kuwa Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Polepole hawezi km anashindwa na Mch.Msigwa na alishiriki kuua baadhi ya mashirika akiwa km mkurugenzi mnataka kumpa uspika akakutane na akina Lisu ambao sheria wanazijua sio za kutafuta.bora wamwambie sita kuliko huyo asiyejifahamu
  6. N

    Didas Masabuli asubiri kuapishwa tu

    Utakuwa umejichokea masaburi atumie uda kubeba watu na siku ya kura akawabebe pia.
  7. N

    Iko wapi timu ya ushindi ya Magufuli?

    Sita anamnadi mke wake huko jimboni Wote hewa tu ziko wapi mbwembwe za makongoro nyerere NIVUEEEEEEEEEEEEEE WEEEEEE siku ya uzinduzi
  8. N

    Wanachama na makada wa CCM huku site wamekata tamaa

    Wamejiloga wenyewe kwa kushindwa kusimamia rasilimali za hii nchi ya Mungu
  9. N

    Sababu 20 za CCM kushindwa uchaguzi mkuu 2015 hizi hapa

    Tatizo hawa jamaa wa ccm wanajidai hawaelewi ukweli na wanajianinisha kwa kuendelea kuwavika watu tshet. Nnachokiona ni tar 25 tukamwapishe lowasa basi
  10. N

    Ziara ya Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa mkoa wa Mara (Serengeti,Tarime)

    Mwaka huu ccm wamejichokea hadi Serengeti🗼
  11. N

    WanaCCM Vunjo wasusa kuendelea na kampeni

    Aliwaona ccm wenzake km watoto.watu wanaangaika kutwa kucha kumpigia debe mgombea wao alafu mtu anakuja anasema asipewe.Inauma sana kwa wale wanaccm cha msingi hamieni ukawa
  12. N

    Mkutano wa Lowasa Uwanja wa Mashujaa Moshi 09/10/2015

    Mwaka huu ccm hawaponi wadau
  13. N

    Meneja wa kampeni UKAWA/CHADEMA hafai, aondolewe mara moja

    Wanadai umeme umewaathiri. Hata ITV wamesema kwenye habari jioni
Back
Top Bottom