Iko wapi timu ya ushindi ya Magufuli?

Iko wapi timu ya ushindi ya Magufuli?

Utakaposikia baada ya uchaguzi viongozi wa kikundi cha UKAWA wanalalamika wakisema wameibiwa kura ndiyo utapata majibu ya swali yako.

CCM hatufanyi siasa za kupiga kelele.

Uchaguzi ni sayansi katika kupata matokeo chanya.

Baada ya uchaguzi utafahamu maana ya comment yangu.

Watu wa aina yako mnalinganisha kampeni za kikundi cha UKAWA na CCM.

Viongozi wote wakuu wa kikundi cha UKAWA na genge la Lowassa wanakusanyika katika jukwaa moja kwa kila siku.

Mkuu kaa kimya usiyashtue hayo manyumbu usingizini, mda si mrefu yataanza chinjana yenyewe.
 
Wapi Makongoro Nyerere, Samwel Sitta, Harrison Mwakyembe, Asha Rose Migiro, Sofia Simba, Sofia Simba, Vuai Ali Vuai, Nape Nauye, Amina Makilagi, Lazaro Nyalandu, Ummy Mwalimu, Livingstone Lusinde, Bernard Membe, Pindi Chana, Stephen Masele, Maua Daftari, Shamsi Vuai Nahodha, na wengineo?

Mbona siwasikii?

Utakaposikia baada ya uchaguzi viongozi wa kikundi cha UKAWA wanalalamika wakisema wameibiwa kura ndiyo utapata majibu ya swali yako.

Kwa hiyo kwa sasa wanapiga mikakati ya wizi wa kura?
 
Utakaposikia baada ya uchaguzi viongozi wa kikundi cha UKAWA wanalalamika wakisema wameibiwa kura ndiyo utapata majibu ya swali yako.

CCM hatufanyi siasa za kupiga kelele.

Uchaguzi ni sayansi katika kupata matokeo chanya.

Baada ya uchaguzi utafahamu maana ya comment yangu.

Watu wa aina yako mnalinganisha kampeni za kikundi cha UKAWA na CCM.

Viongozi wote wakuu wa kikundi cha UKAWA na genge la Lowassa wanakusanyika katika jukwaa moja kwa kila siku.

Baada ya uchaguzi jimbo la mtama litakuwa ndani ya himaya ya UKAWA.

Wewe utakuwa unaendeleza 'uvuvuzela' kama kawaida yako.
 
Wasomi mlio humu ni kwamba nyie hamtaki mabadiliko au CCM inawatunza tofauti na sisi? Wananchi wanataka mabadiliko na wala sio vyama tutapiga kura kwa chama chenye nia ya kuleta mabadiliko nchini hususani elimu! Tuko nyuma sana kimaendeleo kwa sababu ya mfumo usiokuwa sahihi wa chama tawala. Kinakotupeleka siko na sioni mgombea wake kama ana uwezo wa kubadili huo mfumo!
 
Utakaposikia baada ya uchaguzi viongozi wa kikundi cha UKAWA wanalalamika wakisema wameibiwa kura ndiyo utapata majibu ya swali yako.

CCM hatufanyi siasa za kupiga kelele.

Uchaguzi ni sayansi katika kupata matokeo chanya.

Baada ya uchaguzi utafahamu maana ya comment yangu.

Watu wa aina yako mnalinganisha kampeni za kikundi cha UKAWA na CCM.

Viongozi wote wakuu wa kikundi cha UKAWA na genge la Lowassa wanakusanyika katika jukwaa moja kwa kila siku.

Umepanic Mkuu!..
 
Mkuu kaa kimya usiyashtue hayo manyumbu usingizini, mda si mrefu yataanza chinjana yenyewe.
Sumaye ambaye walikuwa wanasema ni zero ndani ya CCM amewaambia kikundi cha UKAWA hawana uwezo wa kupambana na CCM, ndiyo maana ameenda kuwasaidia. Kudhibitisha hoja yake kwa sasa amekuwa ndiyo big gun wa kikundi cha UKAWA, kwa maana nyingine, eti mategemeo ya ushindi yatapatikana kwa hoja za Sumaye. My left foot.
 
Kwanini uendelee kumfanyia mtu anaeshindwa
 
Sita anamnadi mke wake huko jimboni
Wote hewa tu ziko wapi mbwembwe za makongoro nyerere NIVUEEEEEEEEEEEEEE WEEEEEE
siku ya uzinduzi
 
Baada ya uchaguzi jimbo la mtama litakuwa ndani ya himaya ya UKAWA.

Wewe utakuwa unaendeleza 'uvuvuzela' kama kawaida yako.
Moja ya fikra za vijana wa bavicha ni kudhani wanawafahamu wanaJF wote.

Kama kuongea ni kupata ushindi, nadhami kwa sasa vyama vya upinzani vingekuwa madarakani. Siasa za kwenye keyboard/keypad.

Kama unalala ukidhani Jimbo la Mtama linaweza kuchukuliwa na wapinzani, inabidi ukamuone daktari wa magonjwa ya akili!
 
Mtaiba kama kawaida yenu?
Hivi mlishawahi kuwaza kufanya uchaguzi wa huru na wa haki?
Bila fitna mnajua uchaguzi hamtoki.
 
Kama hiyo ni hoja yako, nadhani unawaambia wapinzani ni wajinga na wapumbavu kwa sababu wanaenda kwenye uchaguzi wakati wanafahamu wataibiwa kura zao.

Kama uchaguzi siyo huru na haki unadhani wapinzani wangeshiriki?
 
Utakaposikia baada ya uchaguzi viongozi wa kikundi cha UKAWA wanalalamika wakisema wameibiwa kura ndiyo utapata majibu ya swali yako.

CCM hatufanyi siasa za kupiga kelele.

Uchaguzi ni sayansi katika kupata matokeo chanya.

Baada ya uchaguzi utafahamu maana ya comment yangu.

Watu wa aina yako mnalinganisha kampeni za kikundi cha UKAWA na CCM.

Viongozi wote wakuu wa kikundi cha UKAWA na genge la Lowassa wanakusanyika katika jukwaa moja kwa kila siku.

umemaliza kila kitu mkuu heko sana. tutatafutana na kukimbiana humu tarehe 29, october 2015 ambapo matokeo rasmi ya urais yatakapotangazwa rasmi. kikubwa labda niwaombe tu wana ukawa kuwa kuanzia sasa waanze kujiandaa tu kisaikolojia kwani matokeo watakayoyasikia kuna uwezekano wengine wakafa kwa presha au wengine kuwehuka. rais ni dr. magufuli tu.
 
Mbinu za kivita siyo lazima uzionyeshe kwa adui yako! Timu ya Ushindi siyo lazima uione kwenye mikutano ya kampeni.
 
Back
Top Bottom