WanaCCM Vunjo wasusa kuendelea na kampeni

WanaCCM Vunjo wasusa kuendelea na kampeni

wewe ni mwenzetu huku ukawa sasa unachosikitishwa na ya huko ni kipi? Mbona umeamua kuwasaidia kutia huruma!!

haha nachochea moto wewe wa wapi? Sisasa umejifunza juzi nini? Haha najua wewe gamba lakini!
 
haha nachochea moto wewe wa wapi? Sisasa umejifunza juzi nini? Haha najua wewe gamba lakini!

Nimestaafu Ugamba baada ya kuona badala ya kufanya siasa safi wamekomlia Propaganda. Na mbaya zaidi ni matusi wanayotukana hapo jukwaani, nimejiuliza sana kama watu wana uwezo wa kutukana matusi kiasi hicho mbele ya kadamnasi na mbele ya mgombea urais heshima ipo wapi na ujasiri wa kupapambana na maovu anaotuahidi huyo mgombea uraisi upo wapi? Nimejiuliza mambo mengi sana, kwamba ikiwa leo hii wanatuahidi kutupatia elimu, inakuwaje wanatukatia umeme ili tusifuatilie habari ili tuelemike. Kwanini wanavibana na kuvinunua vyombo vya habari visiripoti ukweli ikiwa ni sehemu ya elimu kabla ya kupiga kura badala yake wanatumia vyombo vya habari kutujaza maujinga ili tusiwe na elimu sahihi ya kufanyia maamuzi? nimejiuliza sana nikaona majamaa ni malghai sana na natoa pole kwa yeyote yule ambayo atakua ni kilaza kwa kiwango cha kutoweza kuyaona haya yanayotendeka sasa.
Wanaoshabikia CCM huwezi kuwaita eti ni wavumilivu bali ni mapompo.
 
Baadhi ya makada wa CCM katika jimbo la vunjo wameanza kususa kuendelea na kampeni za kuinadi CCM kuanzia nafasi ya Udiwani, ubunge na Urais kufuatia kitendo cha mgombea urais wa CCM, John Magufuli kufika jimbo la Vunjo na kuanza kumpigia kampeni Mrema wa TLP awe mbunge badala ya kumnadi mgombea wa ubunge wa CCM innocent Shirima. Kitendo hicho wamekitafsiri kama ni dharau na kuwadhalilisha wanaCCM wa Vunjo kwa kuwa kwa sasa wanaonekana kama watu wasiojitambua kwa kuwa wanachokipigania hakipo tena.

Baadhi ya wakazi wa vunjo wameanza kuwatania makada wa CCM kwa kuwaita "Misukule" baada ya magazeti yenye Picha na habari ya tukio kuzagaa kila mahali katika mkoa wa Kilimanjaro japokuwa tukio lenyewe limetokea Vunjo.
Mkuu tlp ni chama tanzu cha ccm.
 
Binafsi nilikuwa nashangaa kilichokuwa kinatokea. Nilikuwa najiuliza hii wameipanga au imekuwaje!!?
 
Magufuli amejidhalilisha na pia amekidhalilisha chama chake pamoja na jk kwa kukisaliti chama.
Ccm kunafukuta chinichini.
Ccm kwishaaaaa
ukawa na lowasa mbele kwa mbele
 
Jpm ameishiwa kabisa. Had tar 24 atamnadi lowasa
 
hahaaaaaaaaaa...
chizi kapewa ndege airushe.
 
Hawa hawakutakiwa kususa bali wahamie UKAWA , huyo magufuli amewadharau sana .
 
Mimi navyofahamu Agustino Lyatonga Mrema ni CCM, sasa ilikuwaje CCM isimamishe wagombea wawili?
 
Kwa kweli hapa Magufuli kama ni kweli kamsapoti Lowassa amebugi sana, alafu kibaya zaidi Mrema hanadiki, ubunge umemshinda.
 
Magufuli amejidhalilisha na pia amekidhalilisha chama chake pamoja na jk kwa kukisaliti chama.
Ccm kunafukuta chinichini.
Ccm kwishaaaaa
ukawa na lowasa mbele kwa mbele

Magufuli sio CCM. CCM imewashinda wenye nayo wametoroka na kesi wamemsingizia mgombea binafsi Magufuli. Wale unaowaona wakiimba na kujaza umati kwenye mikutano ya Magufuli ndio makada wa chama cha Magufuli, hao wengine kina sijui nani nani na nguo zao za kijani hawajitambui.

Hakuna chama kinachoitwa CCM kwenye uchaguzi huu, kama unabisha, muangalie Magufuli anavyokiponda.
 
Dawa ni kuhama chama manaake kampeni ishaingia doa
 
Baadhi ya makada wa CCM katika jimbo la vunjo wameanza kususa kuendelea na kampeni za kuinadi CCM kuanzia nafasi ya Udiwani, ubunge na Urais kufuatia kitendo cha mgombea urais wa CCM, John Magufuli kufika jimbo la Vunjo na kuanza kumpigia kampeni Mrema wa TLP awe mbunge badala ya kumnadi mgombea wa ubunge wa CCM innocent Shirima. Kitendo hicho wamekitafsiri kama ni dharau na kuwadhalilisha wanaCCM wa Vunjo kwa kuwa kwa sasa wanaonekana kama watu wasiojitambua kwa kuwa wanachokipigania hakipo tena.

Baadhi ya wakazi wa vunjo wameanza kuwatania makada wa CCM kwa kuwaita "Misukule" baada ya magazeti yenye Picha na habari ya tukio kuzagaa kila mahali katika mkoa wa Kilimanjaro japokuwa tukio lenyewe limetokea Vunjo.

Waje upande wa Mabadiliko huko. Magufuli hajielewi tena. Huwezi kumsifia mke wa jirani mbele ya mkeo. Na bible inasema usitamani mwanamke asiyekuwa mke wako.

KARIBU SANA KWENYE MABADILIKO WAPENDWA.
 
VITUKO VYA BONDIA VIMEZIDI..
baada ya kuipondaponda serikali ya CCM iliyompa jukumu la kuiwakilisha..
Na baada ya bondia huyo kujiita M4C badala ya kada wa CCM..
Bondia huyo sasa aja na kali ifuatayo..
Amnadi mgombea wa ubunge kupitia TLP,Agostino Mrema na kuachana na bwana Shirima,mgombea ubunge Vunjo kupitia CCM..
Kituko hiki kimewafanya baadhi ya makada wa CCM kuanza kukata tamaa na kujiuliza..IVI BONDIA NI CCM kweli ? au karogwa ?
Makada hao sasa wanamuombea bondia huyo asije akajiita Lowassa !
kwa maana hasikii la mganga wala la mpiga zumari..hapa kazi tuu ! haha
@rif 2015
 
Aliwaona ccm wenzake km watoto.watu wanaangaika kutwa kucha kumpigia debe mgombea wao alafu mtu anakuja anasema asipewe.Inauma sana kwa wale wanaccm cha msingi hamieni ukawa
 
Back
Top Bottom