Wanachama na makada wa CCM huku site wamekata tamaa

Wanachama na makada wa CCM huku site wamekata tamaa

Nimemuona Katibu wa CCM kule Iringa baada ya kupita na msafara wao una muziki wa ccm na watu wakawa wanasakata rumba huku wanaonyesha vidole viwili juu akaamua kushuka kwenye gari huku kakunja ngumi zipigwe kavukavu na vijana.
Nimecheka sana baada ya kusikia mtu mmoja anamwambia acha vijana watakugalagaza subiri wakugalagaze kwenye kura tuu.
 
hii ndiyo sentensi iliyobaki kwa mtu aliyepigwa kwa hoja akazimia watu wanasubir kuamka

Kwenye Mada Hamna Hoja Hata Moja Ya Kujibu Zaidi Ya Ushabiki Na Mitazamo Tu Ambayo Majibu Yake Ni Oct 25.
 
Hali ya upinzani wanayokutana nayo huku site, hawajawahi kukutana nayo.

Sasa wamebaki kama watoto yatima. Katika kila kada moja, wanamabadiliko kumi.

CCM kwa namna yeyote ile lazima washindwe uchaguzi wa mwaka huu.

Kwa hali ya huku site, uwezekano wa Magufuli kuongoza kwenye kituo chochote cha uchaguzi ni mdogo sana.

Magufuli atakaragazwa na itakuwa aibu ya mwaka kwa CCM.

Wagombea ubunge wa CCM maji ya shingo, madiwani ndio wamekwisha zama kwenye maji.

Sijui nani kawaloga CCM?
Mkuu hawa kutumia uchaguzi wa selekali za mitaa kama pilot study?
 
Wamejiloga wenyewe kwa kushindwa kusimamia rasilimali za hii nchi ya Mungu
 
Tupo tangu kale, CCM ile ile, wapinzani tupa kule...Maghufuli-#jembe-#jembe-,-#CCM-namba moja, naipenda mwenzio...

Wenzako wote ndani ya sisiym wamesha ishiwa pumzi. Naona wewe bado unapumulia mirija.
 
Rais wa jmt ni bwana john joseph pombe magufuli.
 
Tupo tangu kale, CCM ile ile, wapinzani tupa kule...Maghufuli-#jembe-#jembe-,-#CCM-namba moja, naipenda mwenzio...

Hilo dole gumba do likiishia ni hatari.ndovu wameisha..mtaisoma namba,twiga wanatoroshwa ..ni namba moja,fedha zinakwapuliwa...escrow,epa,mabehewa,malipo hewa,...ccm ni ile ile,mtaisoma namba!na inawapendeza wadau.unahitaji kuwa na roho ngumu na ubongo tope!!!
 
Accounts mpya humu jf nyingi kweli wiki mbili hizi alafu zote za kutetea magufuli
 
Accounts mpya humu jf nyingi kweli wiki mbili hizi alafu zote za kutetea magufuli
Hao ni uvccm mkakati maalumu. Hoja awazijui zaidi ya viroja, matusi na kuandika hapa kazi tu
 
Sasa ni wazi wengi wameshaikataa CCMscrow. Magufuli anatamani asingekua yeye ila ndo hivyo tena.

Na kila siku kuna makubwa zaidi yanatokea kuimaliza CCMscrow. Umeme unazd kuisha na bado kuna uzushi haujatatuliwa....
 
Back
Top Bottom