Fugwe
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 1,676
- 664
Labda aapishwe kuwatumikia wananchi wa mbagala ila sio jimbo letu ubungo. Mtindo wake wa kutoa watu toka mbagala waje kushangilia mikutano yake ubungo tumeshaushtukia. Ubungo tunazungusha mikono tuuu... kubenea ndo mpango.
Mbagala ya wapi tena???? huku tupo speed 120 mbunge wa cuf na Edo. Garbage za Masaburi pelekeni kwenye trush