Recent content by Nonji

  1. Nonji

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua shamba kwa wakwe

    Habari wana jamvi? Kama ilivyo kwenye kichwa cha habari. Shemeji yangu yaani kaka wa mke wangu anataka kuniuzia shamba sasa nikasema mambo ya kwa wakwe napo kuna kuwaaga na changamoto zake ngoja nipate japo uzoefu kwa wadau. Bei nipeni tahadhari wakuu.
  2. Nonji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single mother ananing'ang'ania

    Hiyo ni ngumu! Hiyo vita itabidi mpatanishi awe karibu sana na well informed 😂 😂 😂
  3. Nonji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single mother ananing'ang'ania

    🤣 🤣 🤣 Huo ushauri wa mwisho umekaa kiuchochezi sana!!
  4. Nonji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single mother ananing'ang'ania

    🤣😂 😂
  5. Nonji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single mother ananing'ang'ania

    Habari wana jamii, Mimi ni mume wa mke mmoja na kutokana mambo ya kazi Sikai na familia yangu mkoa mmoja hapo ni mikoa ya jirani kidogo kama mwendo wa masaa manne kwenda. Maisha haya nimeyaanza muda kidogo tangu 2022 lakini nimekuwa nikijaribu kujicontrol kuepuka vishawishi vya kuingia kwenye...
  6. Nonji

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Endasak mpaka Dareda ina mashimo mengi sana, ni hatari kwa watumiaji

    Jamani hii barabara ya Arusha to Singida kupanda cha Dareda to Singida ni mbovu kupita kiasi na inahatarisha hata usalama wa vyombo na abiria. Tunaomba jamii forum mfikishe hiyo kero panapo husika tafadhali
  7. Nonji

    JamiiForums Tanzania Sample za milango mizuri ya mbele

    Habari wajenzi? Naomba kuona sample za Milango ya chuma ya mbele.
  8. Nonji

    JamiiForums Tanzania Utaondokaje ukiwa na deni?

    Niliomba tu Kwa kuandika barua ikasainiwa nikapewa pesa basi
  9. Nonji

    JamiiForums Tanzania Utaondokaje ukiwa na deni?

    Habari wanaforum! Hivi ikiwa umekopeshwa na mwajiri na hujamaliza deni huku umepata kazi sehemu nyingine ambayo umeona inakulipa zaidi utaondokaje huku inadaiwa na mwajiri huyu wa awali? Msaada tafadhali kama Kuna mtu amewahi kukutana na jambo hili kwenye ajira.
  10. Nonji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu ananisaliti, Usaliti wake unashangaza

    Wanawake mnatumiwa sana shetani kwakweli! Yaani unachoshwa na amani na utulivu ulioopo sasa unatafuta vijisababu vya kutibua? Unachokitafuta utakupata! Ushauri wangu block hiyo account yako ya Instagram na uachane kabisa na huo ujasusi na ushushu wako.
  11. Nonji

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada katika ujazaji wa maombi ya mikopo ya elimu ya juu

    Thanks mkuu. Kuna tatizo pia nimelinote! Kitambulisho cha mama ambaye nimemuweka kama mdhamini jina la mwisho kwenye kitambulisho cha kura limetofautiana na jina la mwisho kwenye cheti cha mtoto yaani jina la mama yake!! Wakuu hapa kutakuwa na madhara?
  12. Nonji

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada katika ujazaji wa maombi ya mikopo ya elimu ya juu

    Asante Mkuu. Mimi namjazia mdogo wangu kwasababu yupo JKT kwa mjibu wa sheria na hii kazi nafanyia ofisini simfahamu mwanafunzi hata moja mtaani. Mimi sijaprint bado niliogopa maana ilikuwa inatoa alert kwamba ukiprint huwezi tena kufanya marekebisho yoyote! Je hakuna kosa nikiprint? Maana...
  13. Nonji

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada katika ujazaji wa maombi ya mikopo ya elimu ya juu

    Wakuu habari!? Naomba msaada katika ujazaji wa maombi ya mikopo ya elimu ya juu. Nimejaza vipengele vyote lakini nimekwama katika hatua za mwisho kwenye Declarations and Signature. Sehemu hizi:- 1. Attach page 2 of your Application form-After being signed and athourised by applicant...
  14. Nonji

    JamiiForums Tanzania COMBINATION YA HGE

    Naamini pia ninyi mna utaalamu wa mambo ya ajira ni coz gani ambayo ina possibility kubwa ya kupata ajira?
  15. Nonji

    JamiiForums Tanzania COMBINATION YA HGE

    Ahsante sana mkuu!!
Back
Top Bottom