Recent content by nonga

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

    chukua vidonge kumi vya septrin (co-trimoxazole) uvisage viwe unga, kisha chukua mafuta madogo ya kujipaka meupe yaitwayo babycare. yapunguze yabaki nusu. changanya kwa kukoroga unga wa septrin na mafuta. tumia mchanganyiko huo kupaka mwili mzima baada ya kuoga. fanya hivyo usiku kabla ya...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kwa nini maduka ya wahindi kunakua na vioo ndani?

    miaka mitatu iliyopita.nafundisha wanafunzi darasa la form five,akiwemo binti wa kihindi.mazoea yetu ya kibongo kutuma wanafunzi kutununulia bites wakati wa chai. si nikamuita staffroom yule bint. alichoniambia ni "i'm sorry sir,but i can't do that. let me bring some other student(black,for that...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kwa wale waliozaliwa na waliowahi kuishi Tabora, tukumbushane vituko vya Mboka

    Walambo na taarabu za uswahilini baada ya ngema la jioni!!!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nguvu Ya CHADEMA Kigoma:Kuna Wabunge na Madiwani Wangapi Wa CHADEMA?

    Kijana zito ni msaliti,kwa vwango vyovyote.hata hotuba yake ni dhahiri anajua mustakabali wake kisiasa tokana na madudu anayoendeleza.siyo msomi,wala siyo mwanasiasa wa kuisaidia cdm mahali popote.cdm wamtendee haki yake. Ameshapata alichokitafuta kwenye siasa.fedha na aibu.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nguvu Ya CHADEMA Kigoma:Kuna Wabunge na Madiwani Wangapi Wa CHADEMA?

    Kigoma kusini kwa kafulila alikuwepo mgombea wa cdm,mwenye asili ya asia.ref mchakato majimboni tbc1.
  6. N

    JamiiForums Tanzania CUF inapotoa laana na kukaa kimya pale laana isipo wakuta walengwa

    nafikiri. Na je ni mtatiro yuleyule wa DARUSO?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Vijana 'wapiga dili' ndani ya vyama vya kisiasa... Solution.

    mkuu,njaa ni kitu kimoja na kuendekeza njaa ni kingine kabisa. Maisha yoyote bila resillience huishia kwenye matendo ya kikahaba,-na hicho ndicho kinawasumbua hawa wajinga. Na sio katika siasa tu. Tanzania imejaa wapiga deal kila kona ya kila sekta,wazee kwa vijana. Hii ni changamoto...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Vijana 'wapiga dili' ndani ya vyama vya kisiasa... Solution.

    vizuri sana. Kwa kweli wengi katika hawa vijana wasomi wenye historia ya serikali za wanafunzi vyuoni ni wa ajabuajabu nina hakika kwamba kama ni kuchuma,basi chadema wamachuma janga. Nilikuwepo udsm kuanzia 2005. Nawajua baadhi ya walioshikilia daruso wakati huo ambao wapo kwenye siasa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Abolish canings in school

    you are just thinking,i see. I also thought the same way when at the teacher's college. Have come to change my mind in the field! Acheni kuhubiri yasiyofaa wala kuwezekana!
  10. N

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe ILBORU

    magafu,genius wa 6pcb. Mara ya mwisho nilimsoma akiwa sweden. Jamaa alikuwa na bifu la kudumu na mzulu. dah!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    kitu lushanga...geita-butundwe, kajoi... Mwanza-Ars. Kebs bus,wale majambawaz wa nyarugusu-mza! HAJIS...Mza-sgd-ars sik2. Kaaaaaz kwelkweli.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Walimu wa ngazi ya cheti, na walimu wa muda mrefu kazini, ni vibaraka (puppets) wa cwt.

    na walimu wa private sector? Let's b broad.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Nape na Mwigulu naomba mnijibu...

    kumlaumu mwigulu ni au nape ni kuwaonea. Hawa sio chanzo wa dawa ya magamba. Kwa hakika sijui kama hata tatizo la msingi analifahamu,hasa kama mwenyekiti wa chama mwenyewe hana abc za sbb za umaskini wa nchi yetu. Hawa ni vjana tunaoweza kuwasamehe na hata tukasindikizia na glasi ya maji au...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Argue with this if you can....!

    mpya,au iliyotumika?
  15. N

    JamiiForums Tanzania Would you marry a non believer?

    tehe tehe tehe! Bajinga ndibo baliwabo! Tehe tehe! HOAX!
Back
Top Bottom