Abolish canings in school | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Abolish canings in school

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Happychildhood, May 26, 2012.

 1. H

  Happychildhood New Member

  #1
  May 26, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dear friends,

  We are a group of volunteers dedicated to the wellbeing of children. For research and lobbying purposes, we need evidence of corporal punishment (teachers beating their students) happening in schools in Tanzania. If you happen to be in school and witness a corporal punishment scene, we would like to ask you to record it with your mobile phone and send the video to campaignforahappychildhood@gmail.com. We understand that contributors may wish to remain anonymous. There is no need to provide us with your name. If you are not in school anymore, please inform your friends who still are of this address.
   
 2. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono hoja hii. Inasikitisha sana mwalim kuwapiga watoto...
  Keep it up with your campaign and actions. We will contribute, usijali
   
 3. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  Samahani mtoa mada, mimi kizungu kinasumbua kidogo.
  Ningependa kujua endapo mnataka ushahidi wa watoto wanaochapwa viboko tu, au wanaochapwa kupitiliza kiasi cha kupelekea madhara ya kimwili na kiakili kwa watoto? Pia ningependa kujua msimamo wenu ni upi kuhusu adhabu za viboko kabla sijatoa mchango wangu kuhusu kampeni yenu.
   
 4. H

  Happychildhood New Member

  #4
  May 27, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dear Mwali,
  Dear sobhuza,

  Thank you for your comments. What would help are videos of students getting caned in school. Such evidence would make a powerful statement. Our position on corporal punishment is the following: We do respect the right of teachers to discipline their students. However, this shouldn't involve beatings leaving students unable to sit down afterwards. There are many countries where teachers do not beat their students and students do fine nevertheless. We want schools that students can attend without fear.
   
 5. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  Kuna mambo mawili ndugu mwanaharakati unajaribu kuyachanganya, kuna tofauti kati ya kuchapwa na kuchapwa kupita kiasi, wewe umesema kuwa unaheshimu uhuru wa walimu kuadhibu wanafunzi, lakini isiwe kiasi cha mpaka kushindwa kukaa au kuogopa kuja darasani. Sijaona msimamo wako kuhusu adhabu ya viboko isiyo na madhara makubwa kwa mtoto, ningependa nijue msimamo wako kwenye hili kwanza afu ndo niendelee kuchangia.
   
 6. H

  Happychildhood New Member

  #6
  May 27, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  To make it clear: We think that teachers should not whip their students at all.
   
 7. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  Sasa ulichokuwa unatafuna maneno ni nini, ungesema mapema kama hutaki viboko mashuleni nijue nakuhudumia vipi.
  Kimsingi mimi nakubaliana na viboko mashuleni na majumbani, mtoto hana budi kupewa adhabu hii pale inapobidi, lakini kwa staha na kiasi.
   
 8. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kuchapa watoto mashuleni haisaidii...tena wakati mwingine mtoto anachapwa bila hata kosa..if u look at private schools hawachapi watoto na bado wanasoma na wanaendelea vizuri...kuchapa sio solutions. Inabidi serikali iingilie hili swala na ipitishe sheria ya kutochapwa watoto mashuleni..
   
 9. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kule kinachowa guide ni wastani wa shule haya huku geza ulole nini kinachowa guide we kama majumbani kwa maneno murua wameshindikana hivi mnataka walimu wawa bebe mgongoni ili wawe na nidhamu?
   
 10. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #10
  May 27, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  Enyi wana harakati, hebu msitake kabisa kuendelea kudidimiza maadili ya watoto wa taifa hili. Leo mchana kuna kipind kmoja kinaitwa mini buzz cha tbc kuna baba ametoa ushuhudaa wake kuwa mwanae toka ana miaka 9 alimshinda na jana usiku kamtimua nyumbani hataki kumuona. hili ninyi mtalisemeaje?

  Tanzania ni nchi ambayo inaheshimu haki za binadamu lakin pia kwa kufanya hayo bado hatukubali haki inayopotosha maadili. Nafikiri kuna vitu ambavyo ni moral na vingine ni sheria. Hatuhitaj kukopi maisha ya wazungu ya watoto wao wasiochapwa ambao wanafanya mapenzi hadi darasan, na tuyalete hapa kwetu.

  nafurah kuwa mnatetea watoto ila watchout what you speak, labda mmngesema adhabu zilizopitiliza lakin not viboko 3 tunavyoruhusiwa kuchapa. naona kama tunaizika tz kaburini kwani watoto hawa mnaotaka kuwatetea kwa stail hiyo mnawaharibu sana na matokeo yake tutegemee watoto wengi wasio kuwa na nidham kuliko kawaida.
   
 11. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #11
  May 27, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 8,871
  Likes Received: 4,254
  Trophy Points: 280
  Are you a teacher or have you ever been in this field for sometime? then i'l be back.
   
 12. Z

  ZIMBOO Member

  #12
  May 27, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we have to use this as a last resolt and not abolish since it play a big role in shaping the be havior of the student.ma people
   
 13. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #13
  May 28, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Kwa sasa nafundisha mahali(st.Flani hivi ipo Moshi),fimbo ni kawaida. Huku sheria za shule mia kidogo,sasa mimi kama mlezi nimemkamata mwanafunzi ametoka tu nje,na kukojoa mlangoni badala ya kufika chooni,nimfanye nini ili siku nyingine asirudie?
  Je,nimpeleke kwenye sheria za shule ili afukuzwe?
  Je,leo hii nimemkamata mwanafunzi na vyakula binafsi ambavyo haviruhusiwi shule nimfanyaje huyo mwanafunzi?
  Jamani mimi mwenyewe nilisoma shule za sekondari ambazo hazichapi lakini,form 1 una wastani wa 50 unakusubiri mwisho wa mwaka,form two 41,na form three una wastani wa 55. Ukifanya kosa,unaweza pewa magogo 50 upasue ama upelekwe shambani ukalime,ama ufukuzwe shule.Sasa wapi afadhali? Mtoa mada,ungekuwa unaakili na nia ya kutetea haki ,ungeshinikiza uchapaji wa kipimo,bila kumwumiza mtoto,bali apate fundisho ili siku nyingine asirudie.
   
 14. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #14
  May 28, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  Biblia yenyewe inatambua nafasi ya kiboko katika kumteneza mtoto, watakuwa hawa wanaharakati wa haki za binadamu (mashoga na wasagaji inclusive)?
   
 15. n

  nonga Member

  #15
  May 28, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  you are just thinking,i see. I also thought the same way when at the teacher's college. Have come to change my mind in the field! Acheni kuhubiri yasiyofaa wala kuwezekana!
   
Loading...