wawarithishe wakati wao wenyewe wako fifty fifty?
Wanaipa dini umuhimu gani??
Ndo maana nikasema inategemea na umuhimu mzazi unaoipa hiyo imani yako ndio nguvu itakayokusukuma kuwafundisha wanao.
Huwezi wafundisha kwa msisistizo kama ww mwenyewe uko mguu mmoja ndani mwingine nje.
Hata huko magharibi wapo wanaohitahidi watoto wao waelewe wanachoamini na hata kufanya kazi hizo hizo, angalia mtoto wa Billy Graham, au yeye si wa maghaibi?
Wewe Kongosho, unataka kuwafundisha watoto wako dini kwa msisitizo?
Unaona ina umuhimu?
@sun wu
kwa nini hutaki mkeo kama anavuta bangi awafundishe watoto wako?
Na kwa nini unadhani wewe ndo mwenye haki ya kusema mtoto afundishwe hiki na si kile?
Wakati nyote ni wazazi na mna haki sawa kwa watoto wenu?
Kuna mwengine atasema hataki kuoa/kuolewa na mtu wa kabila jengine, kwa sababu watoto sasa watarithi mila na tamaduni za wapi? .....
Tubadilikeni Watanzania
Sawa kabisa Kongosho. Mi sijasema kua ninavo ona mimi ndio sawa.@mwali
siwezi sema ndio au hapana kwa ulichojibu.
Wewe unaona poa tu, muoane mkristu/mwislam/asiyeamini as long as kuna morals, values na utu.
Rejea, umeishi/umekulia katika mazingira gani? Yalikuwa na mwingiliano huo? Au umekuwa exposed kwenye maisha ya style ipi?
Exposure yako ndio inayokufanya uipe imani yako umuhimu kiasi gani. Vivyo hivyo ndio nguvu utakayoitumia kuwafundisha watoto wako.
A strong believer(uliosema awali extremist) atamfundisha mtoto wake kwa umuhimu huo huo, moderate naye atafundisha kwa nguvu moderate na a weak believer halikadhalika atawafundisha kwa nguvu ile ile.
Ili uweze oa/olewa na a non- believer inategemea wewe kwako imani ina umuhimu kiasi gani. Sidhani kama ni suala la kwamba wasioamini ni watu wabaya sana.
Nao wana miiko yao kutokana na general common sense za maisha tu.
sidhani ni kitu cha kusema tu tubadilike.
Ni jinsi ulivyolelewa na exposure uliyonayo ndio inakufanya uweze kuwa hivyo ulivyo.
Ni kweli kabisa, wengine hata kabila tu ni ishu.
Sasa inabidi kujitathmini wewe mwenyewe kama unaweza beba consequenses zake.
Yes I would because GOD is just a hoax and he doesn't EXIST..
Ili uweze oa/olewa na a non- believer inategemea wewe kwako imani ina umuhimu kiasi gani.
Atheists wapo wengi, kuna wengine Neo-Nazis na wengine secular humanists, so kutuweka wote katika fungu la "mlikuwa" kama vile tuna organization moja ni kutulundika, wengine hatutaki kulundikwa.
Prove me wrong..tehe tehe tehe! Bajinga ndibo baliwabo! Tehe tehe! HOAX!