Hawa viongozi wa Africa wana matusi ya wazi kwa wananchi wao! Uganda nzima hakuna anayeweza kuwa raisi isipokuwa yeye? Tuna safari ndefu, uchu wa madaraka unaturudisha waafrika nyuma.
Kiongozi gani anashindwa ku delegate. Ofisi yake haina watendaji wengine?
Kinachohitajika ni misingi na mwongozo wa kazi ili siku akiondoka ofisini kazi iiendelee.
Kwanini iwe kuchagua kati ya ccm na cdm. Kinachoongelewa hapa ni kama aliyepo madarakani is doing the right thing. Ndicho anachopaswa kufanya kusafisha Tanzania? Akiendelea hivi uchafu ambao alishiriki kwa kiasi kikubwa kuutengeneza utaisha?
Mbona anafanya yote haya lakini huko bungeni upuuzi...
Mama Obama nataka nikuulize swali.
Wewe una familia, Kosa lifanyike wewe ukawa part ya lile kosa. Hebu niambie utasahihishaje hilo kosa? Na utahakikisha vipi kosa kama lile halitatokea tena?
Kiongozi mkuu wa nchi hawezi na hapaswi kufanya kazi kwa kujaribu. Lazima kuwe na misingi madhubuti ya...
Hao wawekezaji tumewakaribisha wenyewe na kuwawekea red carpet. Tusisogeze lawama kwa wengine sisi ndio tumekosea tukiongozwa na waliofanya maamuzi kwa maslahi yao binafsi.
Kiongozi wa kututoa hapa lazima atambue na kukiri makosa yamefanyika kutokana na mfumo mbovu wa serikali inayoongozwa na ccm kwa miaka zaidi ya 50 na awe tayari kuyasahihisha kwa kuweka mifumo thabiti ya kuhakikisha makosa na mapungufu kama haya hayatatokea tena. Lazima atambue uraisi ni taasisi...
Matibabu yana gharama sana, mtoa huduma lazima atatengeneza faida ya kutosha. Nashangaa hawa madaktari wanafanya udalali wakati mgonjwa huyu hapa hela iko nje nje kinachompasa ni kutoa huduma nzuri na wateja watamiminika.
babake nasreen 2005 juzi kuamkia jana! mwezi January mwishoni nimeshuhudia family friends wa Familia yetu waliodumu kwenye mahusiano na ndoa kwa miaka 32 wakitengana. Wazee hawa wana wajukuu, most of their family members washaitwa mbele ya haki najiuliza sipati majibu nini kimetokea wakashindwa...
Makundi ya majambazi, wanaotaka kulipiza kisasasi watapata loop hole ya kutunyanyasa na kutupora kidogo tulicho nacho. Kwani nani atajua kama si usalama wa taifa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.