Je, Rais Magufuli hakuyaona haya alipokuwa mbunge/waziri?

Mama Obama nataka nikuulize swali.
Wewe una familia, Kosa lifanyike wewe ukawa part ya lile kosa. Hebu niambie utasahihishaje hilo kosa? Na utahakikisha vipi kosa kama lile halitatokea tena?
Kiongozi mkuu wa nchi hawezi na hapaswi kufanya kazi kwa kujaribu. Lazima kuwe na misingi madhubuti ya kutupeleka mbele.
 
Ndiyo mawaziri wote wanaweza kuchunga kazi zao. Tanzania sio Uingereza wala Marekani kwenye demokrasia zilizokumaa na power ya Rais iko kwa watu. Bado tuna katiba ya kikoloni, tumeipiga vilaka hapa na pale tu. Rais bado Ana power kubwa. Umeona Nape kafukuzwa kwa kusema ukweli? Na Huu sio upuuzi, ni kwa vile huielewi katiba ya Tanzania.
Tatizo ni wewe kukazania kuwa mtu fulani haijui katiba ya Tanzania. Hayo ni mawazo yako. Huyo unayekaza shingo kumtetea mshauri atoke mbele awatake radhi Watezee kuwa yeye na masisiemu wamewakosea watu kwa nusu karne. Ndiyo hapo sasa aanze kufukunyua madudu waliyoyatengeneza kwa mikono yao wenyewe. Yaani waharibu wao kwa kujua kabisa halafu ajidai anarekebisha ashangiliwe? Ooh... Nooooo!
 
Mama Obama nataka nikuulize swali.
Wewe una familia, Kosa lifanyike wewe ukawa part ya lile kosa. Hebu niambie utasahihishaje hilo kosa? Na utahakikisha vipi kosa kama lile halitatokea tena?
Kiongozi mkuu wa nchi hawezi na hapaswi kufanya kazi kwa kujaribu. Lazima kuwe na misingi madhubuti ya kkutupekeka mbele.
Hakikisha amejibu vema. Asilete puruzai!
 
Kwanza nianze kwa kusema nnaumia sana kuona makaburu wakijinufaisha na rasilimali zetu huku mzawa akipata shida zisizo na ulazima.

Lakini nnajiuliza haya...

Hii mikataba ya madini wakati inasainiwa magufuli si alikua waziri? Si alikua mbunge? Kwanini alikaa kimya kipindi hicho?

Wakati mikataba hii inasaini Rais Magufuli si alikua mbunge? Kwanini asingetoa wazo mikataba hii ijadiliwe bungeni? Lakini cha kushangaza kwanini alikaa kimya kama mbunge?

Je ni mikataba mingapi ya hovyo alipitishwa bungeni yeye akiwa mbunge na alikua mstari wa mbele kusema NDIO huku akizani anawakomoa CHADEMA?

Kwanini kipindi hicho asingeikataa kama kweli alikua na nia ya kuipigania nchi?

Ni mara ngapi mkiwa bungeni akina zitto na mnyika waliwaonya juu ya hii mikataba mkawapuuzia?

Sasa tayari mikataba imesainiwa na kama hujui tu hamna mkataba unavunjwa bila kumlipa mzungu uliyewekeana nae makubaliano.

Nitoe tu angalizo... HAWA WABUNGE WA CCM (AKIWEMO YEYE) WANAOSEMA NDIOOOOO NA KUPIGA MEZA BILA KUJUA MADA NDIO WAMETUFIKISHA HAPA Na bado tutayaona mengi.

Angalizo tu..haya ya ACCACIA yasije kuwa kama Dowansi na akina Escrow!

Mungu ibariki Tanzania!
tapatalk_1495767264102.png
 
Kiongozi wa kututoa hapa lazima atambue na kukiri makosa yamefanyika kutokana na mfumo mbovu wa serikali inayoongozwa na ccm kwa miaka zaidi ya 50 na awe tayari kuyasahihisha kwa kuweka mifumo thabiti ya kuhakikisha makosa na mapungufu kama haya hayatatokea tena. Lazima atambue uraisi ni taasisi na sio one man show. Akitaka kufanya kila kitu peke yake siku hayupo ina maana tutarudi kulekule.

Kama ana nia ya kweli ya kututoa hapa lazima, lazima lazima abadilishe ile dhana ya mkubwa kashasema hakuna wa kumpinga. Lazima aijenge na kuheshimu majukumu ya mihimili mingine.

Kama ana nia ya dhati lazima wale waliojihusisha kuliinguza taifa kwenye hasara wachukuliwe hatua stahiki. Kelele za majukwaani na kujiuzulu haitoshi.

Swali ni Je, raisi wetu mtukufu anafanya haya?
Je ni nani kwa waliopo pande zote mbili ukawa na sisiemu unafikiri anaweza akatisaidia ktk hizi point zako nzito?
 
Ndugu kila mtu anaweza kujiuliza swali kama hili kwamba kwanini hakupinga wakati akiwa mbunge au waziri wakati haya yakitokea. Kwanza tushukuru tu kwa kumpata na amekuwa Rais tofauti na mazoea ya wengi kuwa mambo ni yaleyale. Unaweza kuwa waziri au naibu waziri, lkn lazima ujue kuwa kuna bosi wako ambaye ndiyo final. Kudhihirisha hili angalia hata ile clip walipokuwa wanaongea kama utani na wenzake na ukaona msimamo wake. Alikuwa na mtazamo tofauti na ameouonyesha dhahiri, na kwakuwa sasa yeye ni bosi tumwache afanye kazi. Najua wengi wangefurahi kama haya angeyafanya mtu kutoka upinzani, lkn lazima tuelewe kuwa sio kila jambo linalopitishwa ndani ya serikali kila mtu anaridhia. Ni collective responsibility ndo inayotyumika wengi wape. Tumwache afanye kazi ambayo tuliowengi tunatamani afanye zaidi ili kulikwamua taifa letu
 
Kwanini iwe kuchagua kati ya ccm na cdm. Kinachoongelewa hapa ni kama aliyepo madarakani is doing the right thing. Ndicho anachopaswa kufanya kusafisha Tanzania? Akiendelea hivi uchafu ambao alishiriki kwa kiasi kikubwa kuutengeneza utaisha?
Mbona anafanya yote haya lakini huko bungeni upuuzi wa ndioooo bado unaendelea? Mambo madogo yasiyohitaji reasoning kubwa yanaamuliwa kwa vijembe bila kufikiria watanzania.
Akitaka kusafisha nchi ajitambue, atambue makosa yalifanyika wapi na akubali kuyarekebisa. Aende kwenye mzizi, sababu zilizotufikisha hapa ambazo nina hakika hata wewe unazijua vizuri.Hizi za kukamatana na kutumbuana majukwaani hazitaleta maana kwa maisha ya Mtanzania.

Je ni nani kwa waliopo pande zote mbili ukawa na sisiemu unafikiri anaweza akatisaidia ktk hizi point zako nzito?
 
Kwanza nianze kwa kusema nnaumia sana kuona makaburu wakijinufaisha na rasilimali zetu huku mzawa akipata shida zisizo na ulazima.

Lakini nnajiuliza haya...

Hii mikataba ya madini wakati inasainiwa magufuli si alikua waziri? Si alikua mbunge? Kwanini alikaa kimya kipindi hicho?

Wakati mikataba hii inasaini Rais Magufuli si alikua mbunge? Kwanini asingetoa wazo mikataba hii ijadiliwe bungeni? Lakini cha kushangaza kwanini alikaa kimya kama mbunge?

Je ni mikataba mingapi ya hovyo alipitishwa bungeni yeye akiwa mbunge na alikua mstari wa mbele kusema NDIO huku akizani anawakomoa CHADEMA?

Kwanini kipindi hicho asingeikataa kama kweli alikua na nia ya kuipigania nchi?

Ni mara ngapi mkiwa bungeni akina zitto na mnyika waliwaonya juu ya hii mikataba mkawapuuzia?

Sasa tayari mikataba imesainiwa na kama hujui tu hamna mkataba unavunjwa bila kumlipa mzungu uliyewekeana nae makubaliano.

Nitoe tu angalizo... HAWA WABUNGE WA CCM (AKIWEMO YEYE) WANAOSEMA NDIOOOOO NA KUPIGA MEZA BILA KUJUA MADA NDIO WAMETUFIKISHA HAPA Na bado tutayaona mengi.

Angalizo tu..haya ya ACCACIA yasije kuwa kama Dowansi na akina Escrow!

Mungu ibariki Tanzania!

Angesema hapana angeonekana mpinzani hivyo , asingefika kokote wange mshughulikia.
Sasa ndio wakati wenyewe wakusema hapanaa.
 
Si wakati wakulaumiana huu ni wakati wa kuungana kama taifa mungu ibariki tanzania mungu mbariki rais wetu
 
Kujibu swali LA mleta hoja ni kuwa angethubutu kupingana na wakubwa wake asingekuwa Rais leo . Kilichomo ndani ya CCM humo ni kuwa fala kwa matakwa ya boss au chama. Mfano ni bunge live na Nape na wabunge wote wa CCM hawawezi kumkosoa Maghufuli ni mfumo wao.

Tukiacha kuogopa defender na washawasha viongozi wetu watasaini mikataba yenye tija, si sasa hawana wasiwasi wowote
Ni afadhali wabunge wa ccm kuliko hawa wa chadema ndimi mbili leo wanasema hivi kesho wanakataa maneno yao waliyosema jana. Halafu chadema ndo waoga kwa mbowe maake akikohoa tu wengine mpaka mikanda inawalegea kwa kubana pumzi
 
Hili jibu bado ni mfu kabisa!! Inamaana huyu magufuli anaogopa wakubwa???

Kwa hiyo trump akija akamwambia anataka nchi atampa kwasababu ni mkubwa??
Magufuli hajaanza leo kupiga kelele kuhusu mikataba ya madini, tangu akiwa waziri hili swala alikuwa analiongelea tena kwa hisia kali. Acheni kuwaaminisha watu uongo mlitegemea angefanya nini wakati hakuwa waziri wa nishati na madini ? Angelikuwa kashika hiyo wizara akashindwa kuchukua hatua hapo ndo ange ingia kwenye lawama
 
Unajuaje kama alipinga au hakupinga?.

Afterall hawezi ziwia mamlaka ya Mkuu wake na baraza la mawaziri vikao vyake ni Siri
 
Waziri hana uwezo wa kuuza nyumba za serikali bila ya Rais na bunge. Yeye ni kuambiwa tu fanya hivi na anafanya. Mawaziri kwa katiba tuliyonayo Sasa hawana power ya kuamua wana power ya kutimiza wajibu wao wakiamuliwa kufanya. Magufuli hakuuza nyumba za serikali kwa amri yake, aliamuliwa auze yumba za serikali yeye akiwa Waziri. Waulizeni Kikwete na Mkapa hawa ndiyo machampioni wa kuuza Mali za Watanzania.
Kwahiyo Mkuu yeye hakuona kuwa sio sahihi? Na kama aliona sio sahihi alishindwa kukataa?
 
Mawaziri wote wanachukuwa order kutoka kwa Rais. Mfano wa robot haundani na hii issue, tafuta mufano mwingine, ama sivyo soma katiba ya Tanzania kabla ya kuandika upuuzi unajiumbulisha.
Sasa kama yeye sio robot ameshindwa nini kukataa maagizo hayo ya boss wake? Kwani kukataa ni upuuzi au ni uzalendo?
 
Uikomboe nchi wa mtego wa makontena wee jamaa?
ADUI wa nchi hii ni

1.Ujinga
2.Maradhi
3.Umaskini

Ili tuachane na mambo hayo tunahitaji mambo manne

1. Watu
2. Ardhi
3. Siasa Safi
4. Uongozi Bora.

Mkuu;
Naona kuwa una muamko flan hivi. Unachokihitaji ni watu wa kukupa sapoti tu. Kweli, Tz tunalo hitaji hilo la namba 3 na 4. Hayo mengine Mola ametujaalia tele. Watu zaidi ya milion 50. Si haba. Ardhi hadi nyingine tumewatengea nyumbu wajinafwasi kwa maeka na maeka.
Tatizo, 3. Siasa safi. Siasa isio ya vinyongo na visasi. Siasa ya kistaarab ambayo watu tutagombana kwa Hoja wala sio vioja. Watu waelimishwe kuhusu uraia na haki zao. Na mambo ka hayo.
4. Uongozi Bora. Naona tulijaliwa tu Bora kiongozi. Hatujapata uongozi Bora. Kama ni huyo mmoja tu atafanya nini?? Tulikuwa na chuo cha uongozi cha Kivukoni. Tukajiona wenye akili saana tukakifanya cha chama flan. Hii ni dhambi ambayo itatukosti saana. Hakuna chama chenye haki miliki ya kuongoza Tz.
Matokeo yake, kila anayetaka kuongoza, badala ya kujiuliza, Kapitia Kivukoni?? Tunajiuliza, Chama gani huyooo. Hapa tumekwisha. Ndio tunazikutana siasa mbovu za kupakana matope, kutafutiana makesi yauzushi ya madawa. Yaani, Tz tusipokaa chini na kuanza upya hakika tunaitumbukiza nchi kwenye majanga.
Turudi kwenye siasa safi sio siasa za visa na vinyongo. Mtu ashinde kwa kumwaga sera sio kumwaga khanga na vesti huku anayekuja kupokea zawadi yako hajui atarudije nyumbani kwani amesikia mto umefurika ile kamba aliyovuka nayo ikakatika. Miaka zaidi ya 50+ tangu uhuru bado tunavuka mito kwa kamba!! Haiingii akilini huku madini yanarushwa kwa ndege kila siku. Tunalo ombwe la uongozi bora.
 
Kiongozi wa kututoa hapa lazima atambue na kukiri makosa yamefanyika kutokana na mfumo mbovu wa serikali inayoongozwa na ccm kwa miaka zaidi ya 50 na awe tayari kuyasahihisha kwa kuweka mifumo thabiti ya kuhakikisha makosa na mapungufu kama haya hayatatokea tena. Lazima atambue uraisi ni taasisi na sio one man show. Akitaka kufanya kila kitu peke yake siku hayupo ina maana tutarudi kulekule.

Kama ana nia ya kweli ya kututoa hapa lazima, lazima lazima abadilishe ile dhana ya mkubwa kashasema hakuna wa kumpinga. Lazima aijenge na kuheshimu majukumu ya mihimili mingine.

Kama ana nia ya dhati lazima wale waliojihusisha kuliinguza taifa kwenye hasara wachukuliwe hatua stahiki. Kelele za majukwaani na kujiuzulu haitoshi.

Swali ni Je, raisi wetu mtukufu anafanya haya?
Mkuu, umemaliza. Mzalendo sio wa kukaa majukwaani au mbele ya camera. Aondoe dhana ya mkubwa kasema na hakuna kupingwa, hii dhana ni ngumu kuiondoa sababu yeye mwenyewe ameiweka kipaumbele ktk uongozi wake hususani yeye na mwanae bashite.

Kusimama kwenye haki sio kitu rahisi, wale akina Sokoine, Nyerere n.k walikuwa ni watu majasiri kwelikweli na waliweza kumkemea mtu na kumwajibisha kwa kuwa wao walikuwa safi.

Viongozi wa sasa wamejawa UNAFKI, SIFA, KULEWA MADARAKA, CHUKI, VISASI, KUOGOPWA n.k
 
Back
Top Bottom