The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,535
Donald trump ameshasema hatotoa msaada kwa waafrika.tujitegemee
Na kama unavyojua.mali ya mwafrika ni madini n.k.
Tumeanza kujitegemea.
Kama tangu mwaka 1997 hadi leo "tunapigwa" tu kwa sababu ujinga na upumbavu wa wanafiki wa CCM ambao ndiyo waliosaini mikataba hii, basi nayo ni maendeleo.....
Maendeleo ni kuendelea mbele na si kurudi nyuma, mlisaini mikataba inayolindwa na sheria za kimataifa....hakuna kurudi endeleeni kugonga mbele (maendeleo), na mkijifanya mnaleta za kuleta, hakyanani vile Mtanyolewa bila kutia maji !!!