Recent content by NOKIA100

  1. N

    JamiiForums Tanzania Sherehe za kumuaga Samweli Sitta zavurugika Dodoma

    hahahaha, hebu tujuzeni hako kauonjwa kwa mh. mizengwe
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi chuo kikuu UDSM apigwa risasi- Afariki

    Kazi ya policcm kama walivyoelekeza na mizengwe wakupinda ni KUPIGA TUUU. Tena wananchi wasi na hatia lakini kwa majambazi na vibaka naona policcm watakuwa wameambiwa WACHEKE TUU
  3. N

    JamiiForums Tanzania 4X4=18, Taarifa ya habari ITv

    ahsante meneja muajiri (mtoa ajira) katika kampuni hiyo ametudhihirishia wazi kuwa watumishi wake hawana sifa za kitaaluma ila kuna somthing behind the pazia. Hahahahaha, 4x4 = 18 sijui ni hesabu za nchi gani hizi. Halafu mdada huyo alikuwa anaongea kwa mapozi utadhani ndio anajifunza...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Pinda Bungeni haina utata kisheria?

    Pinda mnafiki, alikuwa anajiliza nini bungeni wakati wa mauaji ya alibino wakati saivi anaruhusu mauaji live? Au ndo kuzeeka kimawazo?
  5. N

    JamiiForums Tanzania waitim wa vyuo wengi wao hawana weredi wa kufanya kazi hivi nani alaumiwe?

    wewe mwenyewe sina uhakika na elimu yako, aya moja makosa kibao. ukiambiwa kuandika insha si utaishia kuandika matusi? waitimu?????????????? wahitimu nersing??????????????? nursing mgojwa?????????????? mgonjwa awajui??????????????? hawajui hanaumwa??????????? anaumwa
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mh.Hawa Ghasia acha kutugawa watanzania kwa mikoa na makabila.!

    uwaziri wenyewe kapewa kindungu na Jk halafu analeta kidomodomo? Yeye mwenyewe ana wivu uliopitilisha na visasi . Waulizeni wakurugenzi wa halmashauri watasema juu ya ubaya wa huyu gasia a.k.a FUJO
  7. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waliposhinda uchaguzi: Pinda

    watasema yote, nafsi zinawasuta
  8. N

    JamiiForums Tanzania PINDA: Ukiwa mkaidi usilalamike pale kichapo kitakapokufikia

    Anatakiwa awatake radhi watanzania. Hapa amedhihirisha wazi kuwa yeye ndiyo anaeneza chuki na mpasuko kati ya polisi na jamii. Poor pinda.
  9. N

    JamiiForums Tanzania NINA MASHAKA NA UAMUZI HUU ULIOFANYWA NA Mh Mbowe:

    Kinana akitekeleza majukumu yake ya msingi
  10. N

    JamiiForums Tanzania Wazinzi mwanza wapatanishwa kwa kufanya sherehe kubwa Mwanza

    hyo ni kupongezana au kafara?? ng'ombe wawili.......... so what? bia kret 50 Mmmmmmmmmmmmmmm!!!!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

    Je mrusha bomu amejulikana na kukamatwa au bado policcm wamelala??????????
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kigoda cha mwenge wa uhuru chaibiwa jijini Arusha

    aah! kigoda tu? wangechukua na hicho kibatari kwani ni usumbufu kwa watumishi na hasa polisi
  13. N

    JamiiForums Tanzania TCRA yaiamuru Star Tv kurudi Star Times kabla ya 10 jioni leo!

    *times na *tv wote magumashi tu. sheria ichukue mkondo wake. hadi sasa saa 4 usiku hawajarudisha mawasiliano
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mishahara vp

    Maisha bora kwa kila mTZ. Serikali sikivu imeshakusikia, vuta subira.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Huduma za matibabu KCMC zapanda kwa kati ya asilimia 450-1000, wagonjwa walazimisha waruhusiwe

    Duh! Mkulima wa ndizi pale kishumundu atamudu gharama za kitanda 35,000 kwa siku? achilia mbali hizo milioni za OP. EE Mungu 2hurumie viumbe wako utuponye na utujalie afya njema
Back
Top Bottom