Kwanza, Hellen Kijo - Bisimba - Omba copy kwa Mh. Mbowe, peleka ICC.
Second Mama, Itisha Maandamano ya kupinga mauaji ya Polisi
Matamko everyday bhanaaa!!!!
Lets be people of action now. Ama na wewe mama unaogopa kutolewa kucha na meno....
Basi kwa taarifa yako, hata kwa haya matamko watakutoboa jicho....
So, ungana na wakina Deus Kibamba, lianzishe na wananchi wamechoka. Wananchi wanataka tu mtu atakae waunganisha. Only that.... Hata madokta wanaweza kutusaidia, hata waalimu. TUCTA si waamini sana....