Recent content by noj-tech

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ukimpa mwanamke mimba ni lazima umuoe?

    Kuna mengi sana kwenye mahusiano. ila sijui kwa nini wanaume wengi wanakimbia majukumu kama mimba ni yako means mtoto ni wako kwa nini usimpe huduma sitahiki kwa sababu kuna leo na kesho.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ukimpa mwanamke mimba ni lazima umuoe?

    Na kwa nini unakubali kukojolewa wakati unajua utapata mimba yeye sio mume wako.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na kupandishwa vyeo limekaaje?

    Hapo ni siasa alikua anafanya. wenye akili wanajua mbinu kama alivyoongea
  4. N

    JamiiForums Tanzania Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na kupandishwa vyeo limekaaje?

    Ni kweli anakuja kwa kutaka ulicho nacho na anajua kweli unacho habatishi ila ikifikia swala la polisi hapo wanakula pamoja na haki yako hauipati. Ukweli polisi na hao jamaa ni sawa na paka na samaki kila mmoja anapenda. kinacho tula sisi ni polisi wetu.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na kupandishwa vyeo limekaaje?

    Ndugu yangu mimi najua na nina minafahamu na nina mambo mengi ya police international na hapa kwetu polisi ukifika wanaangalia uko vp maswali mengi wakijua wewe mambo yako safi Ni kweli uongo wa polisi unakubalika. Ukweli wa raia haukubali.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na kupandishwa vyeo limekaaje?

    Ukitaka kuwajua polisi wetu uwe na kesi. they after money.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na kupandishwa vyeo limekaaje?

    Maneno na vitendo ni vitu viwili tofauti kuitikia sio kutenda.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na kupandishwa vyeo limekaaje?

    Askakari wanawajua hao wote. but its one deal wangapi wanatoa taarifa kwa polisi lakini mambo hayafuatiliwi. hao wanakula polisi wetu kijumla .
  9. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nashindwa kutongoza mchana lakini usiku naweza

    Hakuna formula, hajiamini.
  10. N

    JamiiForums Tanzania KATABIA HAKA WADADA 2016 MJITAHIDI MKAACHE.... MMESIKIA WAREMBO!!!!

    pana ukweli mkuu. hiyo tabia ni mbaya sana alafu wengine wana kazi zao safi tu.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Yule mke wa kachero wa TANAPA...

    Hapo Kuna kitu nyuma yake. House boy ni Dereva? Na je nyumbani kulikuwa na house boy peke yake? La msingi ufanyike uchunguzi wa kina na kitaalam
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya makontena yamuibua Ridhiwan Kikwete!

    Kweli kiongozi.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa leo!

    Hilo nalo neno
Back
Top Bottom