Habari mkuu mfuga kuku, nahitaji kuanza biashara hii, naomba msaada wa kujua ni mashine gani nzuri na heavy duty kwa Photocopy na kwa bei nafuu ya chini ya 2M?
Njia pekee ya kupambana na Ndago ni kutifua shamba zima na kung'oa viazi vyake na kuvitupa nje ya shamba au kuchoma. Utapoteza gharama nyingi kununua dawa nyingi lakini usione matokeo chanya kwa siku za baadae
jamani kwa upande wangu mimi naona mashine ni ghali mno. sio tu ni ghali bali nitumie neno kuwa ni UNYONYAJI. Mimi mwenyewe ninazihitaji sana hizo mashine na nina kila kitu kinachohitajika. Lakini changamoto ninayokutana nayo ni hiyo gharama ya mashine. Haiwezekani Laki Sita yote niwe nalipia...
Habari,
Majipu yapo mengi ila kuna hili la madini nadhani nalo ni la muhimu kama walivyotangulia kusema wengine.
Nasema hivi kwa kuwa nina wasiwasi wachache ndio wanaonufaika. Kama unasafiri mara kwa mara kutokea Mwanza kwenda Dar au Arusha hapo katikati utakutana na Malori si chini ya...
Kilichokua kinaniskitisha mtoto aliepata chini ya 50 hapewi sup mpala apass hilo somo.... Ila wanadadavua kinoma. Chuo kufikisha hiyo 50 ni mziki... Ile kweli ilikua siasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.