Biashara ya spare za mashine za photocopy

mfuga kuku

JF-Expert Member
Jul 14, 2014
750
544
Habari wanabodi, napenda kutumia fursa hii kuwashukuru Sana, sana tena sana! nilianzia na kuomba jina la biashara kwa ajili ya kuanzisha biashara ya stationery ambayo kwa kiasi kikubwa idea nimeivuna kutoka jukwaa hili, biashara yangu sasa inaenda vizuri miezi sita ya mwanzo nilitamani kughairi biashara hii maana mauzo kwa siku yalikuwa hayazidi Tsh 3000/=( Alfu Tatu) lkn sasa namshukuru Mungu kuna Muda nauza hadi LAKI TANO kwa siku kipindi kile cha November na December, na January. siku zingine za kawaida nauza Laki moja adi Mbili.

Kwa sasa nimeongeza na biashara za Miamala ya simu, pamoja na Vitafunwa kama Korosho za kuoka na zile mbichi.

Jana nimepata wazo la kuweka na spare parts za mashine za photocopy, naomba kama kuna mdau ana fahamu chimbo la bidhaa hizi kwa karikoo anijulishe, aweke hapa ili na wengine pia waone.
Napokea maswali kwa mwenye kuhitaji kuanza biashara ya stationery ili walau nimpatie A, B, C'S.

Natanguliza Shukrani, Mbarikiwe sana watu wangu wa nguvu.
 
Na mimi nina ilo wazo aseeee la kufungua stationery, naomba unipe details kdgo ndgu
 
Nielekeze tu hapa hapa barazani na wengine wanufaike na Maelezo yako Mkuu.
Mkuu hujanielewa wadau watakupa ushauri na maelekezo.
Ukishafanya maamuzi na ukahitaji kuagiza hizo spea za stationeries nitakuagizia from Dubai.
Utanicheki kwa whatsapp.
+971527794329
 
Na mimi nina ilo wazo aseeee la kufungua stationery, naomba unipe details kdgo ndgu
1. Tambua madhaifu ya stationery za majirani na hapo unapolenga kufungua, madhaifu yao ww yaboreshe.
2. Hakikisha una daftari zifuatazo
- Mauzo ambalo litakuwa linaonyesha mauzo ya kila siku na faida yake hakikisha unafunga hesabu kila siku.

- Daftari la Madeni, hili ni Maalum kwa wote unaowadai hakikisha na namba za simu za wadeni wako zinaandikwa humu.

  • Daftari la Bidhaa
  • Uwe na ledger ya bidhaa zako zote na jinsi zinavyouzika ili iwe rahisi kuagiza mzigo mpya.

3. Location sahihi.
kama ni maeneo karibu na Taasisi za umma kama shule, vyuo, nk

Haya ni machache tu kwa kuanzia, kama una la kuuliza, uliza tu na wengine nao wanufaike.
 
Umetisha sana mkuu be blessed
 
nipo karbu na shule secondary na primary na hamna stationery mkuu, naomba kujua vya kuanza navyo kwanza mana mtaji ni mdgo sana
 
Habari wanabodi, napenda kutumia fursa hii kuwashukuru Sana, sana tena sana! nilianzia na kuomba jina la biashara kwa ajili ya kuanzisha biashara ya stationery ambayo kwa kiasi kikubwa idea nimeivuna kutoka jukwaa hili, biashara yangu sasa inaenda vizuri miezi sita ya mwanzo nilitamani kughairi biashara hii maana mauzo kwa siku yalikuwa hayazidi Tsh 3000/=( Alfu Tatu) lkn sasa namshukuru Mungu kuna Muda nauza hadi LAKI TANO kwa siku kipindi kile cha November na December, na January. siku zingine za kawaida nauza Laki moja adi Mbili.

Kwa sasa nimeongeza na biashara za Miamala ya simu, pamoja na Vitafunwa kama Korosho za kuoka na zile mbichi.

Jana nimepata wazo la kuweka na spare parts za mashine za photocopy, naomba kama kuna mdau ana fahamu chimbo la bidhaa hizi kwa karikoo anijulishe, aweke hapa ili na wengine pia waone.
Napokea maswali kwa mwenye kuhitaji kuanza biashara ya stationery ili walau nimpatie A, B, C'S.

Natanguliza Shukrani, Mbarikiwe sana watu wangu wa nguvu.
Vipi asaiv inaendeleaje biashara yako boss?maana nataka nianze na mimi ila sehemu ni kati kati ya mji na kuna waswazi wengi na wanafunzi nyomi
 
Back
Top Bottom