Recent content by Noah Mboma

  1. Noah Mboma

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu upokeaji mizigo kwa kampuni ya Naparex courier company

    Jamani naombeni msaada, nimetumiwa mzigo kutoka uk, nimeambiwa wanaleta east afrika, inamaana wanaleta hadi mkoa uliopo?
  2. Noah Mboma

    JamiiForums Tanzania Bondia Mandonga ni Kanyaboya wa kisasa, historia zao zinafurahisha, wazee wa mikwara ya hatari

    Mambo ya mandonga 😂😂😂
  3. Noah Mboma

    JamiiForums Tanzania Pierre Gumbo ‘Liquid’ akiwa na Spika Ndugai na Naibu Spika Tulia!

    Mimi napita tu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Noah Mboma

    JamiiForums Tanzania Straight Talk Africa na Shaka Ssali: Tundu Lissu jino kwa jino na Balozi Wilson Masilingi

    Kweli ndugu, hata kaburi liliona hana makosa na mtu ndio maana hadi leo yupo hai Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Noah Mboma

    JamiiForums Tanzania Straight Talk Africa na Shaka Ssali: Tundu Lissu jino kwa jino na Balozi Wilson Masilingi

    Kama serikali inashindwa kukaa na Lissu ili wayamalize basi wairuhusu CIA ifanye uchunguzi ili kila upande uridhike na majibu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Noah Mboma

    JamiiForums Tanzania Straight Talk Africa na Shaka Ssali: Tundu Lissu jino kwa jino na Balozi Wilson Masilingi

    Hili tatizo ukweli linatuathili wananchi Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Noah Mboma

    JamiiForums Tanzania Fb inasaidia Sana kumpata mtu mliyepotezana

    Duh hongera sana, hiyo fursa usiipoteze Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Noah Mboma

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Faida ya kukojoa shahawa mara nyingi

    Hapo ndio patamu, wanawake tusaidieni tusije tukafa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Noah Mboma

    JamiiForums Tanzania Tafakuri tata: Tundu Lissu hajawahi kulitesa Bunge wala Serikali. Je, alishambuliwa na nani?

    Mh hili suala bado linatushangaza wengi, cha ajabu hadi sasa amekuwa adui wa serikali Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Noah Mboma

    JamiiForums Tanzania Siku ukigundua mkeo ni mgonjwa wa HIV na hajakwambia utachukua uamuzi gani?

    Asante ndugu yangu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Noah Mboma

    JamiiForums Tanzania Siku ukigundua mkeo ni mgonjwa wa HIV na hajakwambia utachukua uamuzi gani?

    Dah asante ndugu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Noah Mboma

    JamiiForums Tanzania Tamthiliya ya Sultan inaharibu ndoa

    Wewe hupendi? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Noah Mboma

    JamiiForums Tanzania Siku ukigundua mkeo ni mgonjwa wa HIV na hajakwambia utachukua uamuzi gani?

    Mtoto ni mzima japo bado ananyonya Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Noah Mboma

    JamiiForums Tanzania Siku ukigundua mkeo ni mgonjwa wa HIV na hajakwambia utachukua uamuzi gani?

    Asante ndugu kwa elimu Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Noah Mboma

    JamiiForums Tanzania Siku ukigundua mkeo ni mgonjwa wa HIV na hajakwambia utachukua uamuzi gani?

    Asante kaka kwa ushauri Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom