UTAFITI: Faida ya kukojoa shahawa mara nyingi

UTAFITI: Faida ya kukojoa shahawa mara nyingi

Kibumbula

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2018
Posts
3,697
Reaction score
3,413
Utafiti unaonesha wanaume wanaokojoa shahawa mara angalau 21 kwa mwezi wanapunguza uwezekano wa saratani ya tezi dume kwa 33%.wanawake,choonde,tuokoeni kaka zenu.Hata kama mmechoka, tuachieni tupige mzigo heavy.
Screenshot_20190204-102355.jpeg
IMG_20190204_102421.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utafiti unaonesha wanaume wanaokojoa shahawa mara angalau 21 kwa mwezi wanapunguza uwezekano wa saratani ya tezi dume kwa 33%.wanawake,choonde,tuokoeni kaka zenu.Hata kama mmechoka, tuachieni tupige mzigo heavy.View attachment 1013010View attachment 1013011

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi huyo lazima INA uhusiano na saratani ya shingo ya kizazi.kwamba mwanamke akikojolewa Mara walau Mara 21 kwa mwezi anapunguza uwezekano kupata saratani ya shingo ya kizazi kwa zaidi ya asilimia 33.
Utafiti wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Watu wanapiga pumbu kijana achaaa.Kuna watu wapo vizuri na watafuta pesa vizuri tuu.Fika sehemu za uvuvi,watu wanavua kwa masaa fulani,muda unaobakia ni pumbu tuu na pombe.
Unaugawaje muda wako ukakojoa Mara 21 kwa mwezi? Maana yake utom.. 252 kwa mwaka? Pesa unafta saa ngapi? Hao Harvard ni wapuuzi tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Watu wanapiga pumbu kijana achaaa.Kuna watu wapo vizuri na watafuta pesa vizuri tuu.Fika sehemu za uvuvi,watu wanavua kwa masaa fulani,muda unaobakia ni pumbu tuu na pombe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana lakini kuna uwezekano wa kuruka Tezi ukapata shida zingine hapo..binafsi naweza zidisha hiyo idadi lakini si kwa kipindi hiki..mambo yenyewe hayaeleweki Man Stress tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kipindi cha Jiwe sio kabisa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inawezekana lakini kuna uwezekano wa kuruka Tezi ukapata shida zingine hapo..binafsi naweza zidisha hiyo idadi lakini si kwa kipindi hiki..mambo yenyewe hayaeleweki Man Stress tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Watu wanapiga pumbu kijana achaaa.Kuna watu wapo vizuri na watafuta pesa vizuri tuu.Fika sehemu za uvuvi,watu wanavua kwa masaa fulani,muda unaobakia ni pumbu tuu na pombe.

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂 pumbu tuu na pombe,,hawana stress kbsaaa,,
 
Back
Top Bottom