johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,829
- 141,744
Maneno yamekuwa mengi sana kuhusiana na shambulizi lililomjeruhi mh Tundu Lisu na hata sasa haijabainika sawia ni nini hasa kimetokea.
Katika kutafakari nikajiuliza pale bungeni Tundu Lisu amewahi kutishia maslahi ya nani?.......sijaona
Je, Lisu amewahi kuibua issue yoyote kubwa ya ufisadi serikalini...... Hapana, ufisadi mkubwa umewahi kuibuliwa na Dr Slaa, Zitto Kabwe na David Kafulila.
Je, Lisu amewahi kutamani kuwa KUB......Hapana aliyetamani ni Zitto wakati akiwa bado yuko Chadema.
Je Lisu amewahi kumshinikiza kiongozi yeyote wa juu ajiuzulu akiwa bungeni..... Hapana waliowahi kushinikiza ni Zitto na Nassari wakati wa operesheni Tokomeza wakitishia kumuondoa Waziri mkuu kama mawaziri waliotajwa ripotini hawatatumbuliwa. David Mathayo alitumbuliwa bila kutajwa kwenye ripoti.
Mwisho nimejiuliza Lisu amewahi kutangaza nia ya kugombea urais akiwa bungeni..... Hapana aliyetangaza ni Zitto akiwa Chadema tena kabla hajatimiza umri wa kikatiba wa miaka 40 baadae alikikimbia chama hicho.
Sasa hao maadui wa Tundu Antipas Lisu wanatoka wapi hadi huyu mheshimiwa kuondoka na dereva wake na kwenda kutangazia nia yake ya kugombea urais huko ughaibuni badala ya Ufipa pale Kinondoni?
Daudi Mchambuzi soma hiyooooo!
Maendeleo hayana vyama!