Hiyo siyo kebehi, bali hili ni fundisho kwa kila Mtu na siyo kwamba tunamhukumu, pia ni ni fundisho kwa Wazazi wote japo kizazi hiki ni kigumu lakini huyu Mtoto alianza mambo tangu kitambo na Mimi nimekuja kushangaa eti alikuwa anasoma. Mtoto kutwa nzima kwenye magazeti yeye na ndiye yeye...