Muwasho

NNYAMBALA

Member
Mar 3, 2011
85
12
Mtoto amevaa nguo zinamusha mpaka analia.
 

Attachments

  • lulu.jpg
    lulu.jpg
    15.2 KB · Views: 457
Hiyo siyo kebehi, bali hili ni fundisho kwa kila Mtu na siyo kwamba tunamhukumu, pia ni ni fundisho kwa Wazazi wote japo kizazi hiki ni kigumu lakini huyu Mtoto alianza mambo tangu kitambo na Mimi nimekuja kushangaa eti alikuwa anasoma. Mtoto kutwa nzima kwenye magazeti yeye na ndiye yeye aliyesema akivaa nguo ndefu zimamuwasha. Tunamuombee na haya yataisha na akirudi natumaini atakuwa Binti mwema na mfano kwa Wengine. Mungu msaidie Lulu.
 
Namuonea huruma sana kwa jinsi anavyoteseka!

1.Every action there is equal and opposite reaction
2.Pay the cost to be The Boss
 
wacha awashwe, malipo ni hapa hapa ni duniani, kudadadeki
 
Ni dhahiri kwamba Kanumba alikuwa na makosa kwa kumbaka mtoto mdogo kama huyu. cha ajabu wengi hawalioni hilo wanamlilia tu kanumba kwa vile wanapenda muvi zake. mie nawaambia hii kesi itakuja kuleta kizaazaa
 
Mtoto amevaa nguo zinamusha mpaka analia.
Hapana mkuu, hilo ni fundisho kwetu sote tulee watoto wetu katika maadili mema. Hata Kanumba alikuwa na makosa makubwa sana, kwanini alikuwa anambaka mtoto huyu? It is obvious he was outing with her. God forbid.:doh:
 
Huyu 'mtoto' hawezi kuwa muuaji ila kifo cha kanumba kilikumbana na uwepo wa lulu wakati wa kumfika kanumba.
Dhambi zake kama vile kuvaa nguo fupi,majibu ya majigambo, na kujidaia kuyatenda ya wakubwa akiwa mtoto ndivyo zinazowafanya watu wadhani lulu anastahiri kuwa muuaji. Ni nani msafi kati yetu hadi aone kwa urahisi dhambi za wengine?
Tunaompenda kanumba
tunadhani kifo kimemuonea kanumba kupitia lulu, tunasahau kuwa mauti yapo mbele ya kila mmoja wetu, pasipo kuzingatia umaarufu,umri, cheo,etc... Tusishangae Mungu asipo muhesabia lulu dhambi ya mauaji.
 
Kweli dunia duara
Dunia tambara bovu
Kuna funzo katika kifo cha Kanumba
Kuna funzo katika mtoto mdogo wa umri wa kwenda shule kutuhumiwa kuhusika
Kuna funzo kwa wazazi kumpa uhuru usi stahili mtoto wa miaka 17/18 kuingia mambo ya Kikubwa
Kuna funzo katika kushuhudia mabaunsa wa serikali wakimkomalia masikini Lulu na kumpeleka kwa Pilato

Masikini Lulu
 
Ni dhahiri kwamba Kanumba alikuwa na makosa kwa kumbaka mtoto mdogo kama huyu. cha ajabu wengi hawalioni hilo wanamlilia tu kanumba kwa vile wanapenda muvi zake. mie nawaambia hii kesi itakuja kuleta kizaazaa
Mimi neno langu kwa siku ya leo ni 1 tu......mtoto huwa habebi type za kina Captaiin hata siku 1,Lulu ni more than mtu mzima wa kawaida regardless of her age...over!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom