Wivu mbaya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wivu mbaya

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by NNYAMBALA, Jun 13, 2012.

 1. N

  NNYAMBALA Member

  #1
  Jun 13, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mama mmoja alimshuku Mume wake kuwa, anamlamba house girl wao, siku moja bila mume kujua Mama aliamua kumpa likizo ya wiki moja house girl ili aende kwao kusalimia. Akamtega Mume wake akajichomeka chumbani kwa yule Dada na akazima taa na kujifanya amelala, mara akasikia mtu anaingia chumbani na kumparmia, mapenzi moto moto yakaanza na Jamaa akamaliza kukoj..., Mama akamwambia siku zote nakutega leo nimekukamata ile kuwasha taa ili amumbue mumewe akakuta aliye mto**mb ni Shamba boy wao.
   
 2. imma.one

  imma.one JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 545
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mmmhhh wewe umekosea hakuwa shamba boy alikuwa mwanae wa kwanza wa kiume ana umri wa miaka kumi na tisa anasoma form three hapa Imma Secondary
   
 3. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hatari.....
   
 4. KML

  KML JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  inamana we usijue ata harufu ya mmeo
   
 5. H

  HardMartin JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 236
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Mmmmh!! hii kali
   
 6. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  du, ni wewe nini ulipigwa para
   
 7. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,152
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  shamba boy mwenyewe ni mimi, ila sitaki maswali
   
 8. P

  Pinyora Member

  #8
  Jun 14, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  shamba boy amejilambia mother house kiulaini.
   
 9. M

  Mlanziwa Member

  #9
  Jun 14, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah kweli alifaidi shamba boy ananitamanisha ujue
   
Loading...