huyu MMASAI niaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

huyu MMASAI niaje?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mchochezi, Apr 22, 2012.

 1. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,952
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  jaman katika watu wanaojifanya wabishi wamasai wanaongoza, sasa huyu jamaa yuko uchi halafu nashindwa kuelewa amekalia nini? hebu jionee mwenyewe............. View attachment 52320
   
 2. K

  King Gmt Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  huenda ni mazoezi yao huko kwao maanda hawana goz kwamba watacheza uwanjani!!
  Mhhhh!! lakin inatisha hadi karne hii ya mchina wenye bado wako hiv?
   
 3. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,222
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Kakalia sime na limezama umebaki mpini tu! Duuuuh kweli huyo ni noumaa!
   
 4. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,952
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  hao jamaa bado wana utamaduni wao ndo maana hawana habari na utandawazi
   
 5. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,952
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  duuuuuuu! Akikalia sime atakuwa mtu kweli??
   
 6. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  hawana shobo wala ushoga hao,fikiri hapo hyo sehemu ya maji taka imekomaa kiasi gani
   
 7. M

  Malipo kwamungu JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 574
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Hawa si wamaasai ni watu wa karamajong mpakani mwa Uganda na Sudan wanajua sana kucheza na bunduki hasa K47 na LMG WANAUWEZA WA KUPIGA CHUNGU KILICHOWEKWA KICHWANI KWA MTU KUAZIA KIJANA MDOGO WA UMRI WA MIAKA 12 Bastola zote wanaona silaha za kuwindia ndege tu hizo nilizotaja wanatumia kwenda nazo kuchunga ng'ombe, familia masikini ndio wanakuwa silaha unazoona ktk picha
   
 8. N

  NNYAMBALA Member

  #8
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa amekalia ile jamaa inyomezwa na mwenzake.
   
 9. Aggrey86

  Aggrey86 JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 856
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Duuu! huyu masai hatari!
   
 10. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Huyu hata akitupiwa dudu hata sikia kitu kwa uzoefu aliokuwa nao akija mjini atatengeneza pesa mingi sana
   
Loading...