tuache utani ana sura mbaya akiwa anasema uongo bungeni tena kwa hasira | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tuache utani ana sura mbaya akiwa anasema uongo bungeni tena kwa hasira

Discussion in 'Jamii Photos' started by Pdidy, Apr 24, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,783
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 2. W

  WILSON MWIJAGE JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu,

  Hii sio sura mbaya, hii ni sura ya wanaume wapiganaji iwe msituni, sebuleni au chumbani. Mimi nina wasiwasi na utendaji kazi wake na si sura
   
 3. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  sasa wewe chumbani unamkasirikia nani na kwanini unakasirika?
  Nyamm! nyamm! nyamm!
   
 4. Boonabaana

  Boonabaana JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 227
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Jamani, ameumbwa hivyo na Muumba, unless unataka kukosoa kazi ya Muumbaji. Kama wewe uko sawa sawa ktk kila fani, basi mshukuru huyo huyo Muumbaji.
   
 5. W

  WILSON MWIJAGE JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu,

  Ukiwa mpiganaji wakati na muda wowote waweza kupigana. Naongelea kupigana (upiganani), hapa hakuna kuchagua sehemu kwasababu askali hodari hachagui pori. Narudia mimi nina wasiwasi na sababu za upiganaji na sio upiganaji wa Mh. mwenye sura ya upiganaji
   
 6. j

  jloss Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunachoongelea na kuangalia ni utendaji wa kazi sio sura , weye wamtaka sura ili nini? NA pia pale sio mahala pa maonyesho vinginevyo labda weye una madhaifu mengine ambayo sisi hayatuhusu na si mahala pake hapa
   
 7. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  huwa namshangaa yaani anaogea kwa ukali utafikiri anagombana.au ndivyo alivyoumbwa jamani
   
 8. N

  NNYAMBALA Member

  #8
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unataka awe na sura nzuri kwani yeye Demu?
   
 9. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Sijui kama anamaanisha....
   
 10. z

  zayat JF-Expert Member

  #10
  Apr 24, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe sura yako nzuri ?
   
 11. Kingvictor87

  Kingvictor87 Member

  #11
  Apr 24, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 25
  haya bwana rais wako c ana surj nzuri?!haya sasa katufikisha wapi na sura yake nzuri?
   
 12. Rabin

  Rabin Senior Member

  #12
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 179
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Jamani mbona sura ya kawaida sana hiyo, je angekuwa SW tysn
   
Loading...