Recent content by NMDA antagonist

  1. NMDA antagonist

    JamiiForums Tanzania Muda wowote nitajiunga CHADEMA ya Lissu. Naona ni chama ambacho kitatukomboa Watanganyika

    Kila la kheri.. ukipata hiyo Haki na ukombozi uje pia utuambie🤣
  2. NMDA antagonist

    JamiiForums Tanzania Nakodisha ultrasound machine

    180k kwa mwezi mashine ni Sono "S itatumia probe mbili pamoja na printer yake.
  3. NMDA antagonist

    JamiiForums Tanzania Nakodisha ultrasound machine

    Ni sonoscape ina probe mbili curved na linear probe
  4. NMDA antagonist

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kukamua juice ya miwa iliyo bora zaidi ni ipi?

    Nahitaji hii mashine but nina 900k
  5. NMDA antagonist

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kikwete, CCM na machawa wataweka wapi sura zao ICC wakitoa arrest warrant kwa Samia?

    Kaka amka kakojoe unaota ndoto mbaya sana
  6. NMDA antagonist

    JamiiForums Tanzania Nakodisha ultrasound machine

    Habari ya humu Wana sogozi Natafuta dispensary/health centre ambayo naweza kukodisha mashine ya ultrasound preferably ndani ya daresalaam. Machine ninya kisiasa with all accessories including printer. Unafanya all examination including pelvic, abdominal and obstetrics ultrasound. Inbox...
  7. NMDA antagonist

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kisimbuzi cha Canal Plus

    Nzuri hiyoo
  8. NMDA antagonist

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Hiii story inataka uwe genius kuweza kufungua codes na kuelewa undani wake Nasubiri next episode..
  9. NMDA antagonist

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kusoma Diploma ya Meno

    Kosa lako kubwa ni kujilinganisha na huyo rafiki yako. Sikia brother kila mtu ana njia zake za kupita. Ila iki2a una amini katika kusoma sawaa jaribu kusomea radiology itakubeba sana..
  10. NMDA antagonist

    JamiiForums Tanzania Swali gumu kidogo: Kwanini Urusi iliyosambaratika na dhaifu kuliko USSR inawasumbua sana NATO?

    Hii thread unanipa somo kubwa hapa nimechukua peni na karatas
  11. NMDA antagonist

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kinakukata Sitimu unapotaka kumtongoza mwanamke

    demu akiwa anafunga kucha bandia, au mawigi na kujichubua hapo siwez kutongoza takataka huyoo
  12. NMDA antagonist

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu tuondolee Sera ya Kujitolea kwa kada Afya

    Ni kweli aisee
  13. NMDA antagonist

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya aongeza mke wa nne

    Safi Sanaa inapendeza Sana nasi tunakuja
  14. NMDA antagonist

    JamiiForums Tanzania NECTA watangaza matokeo ya kidato cha nne, kidato cha pili na darasa la nne

    Ngoja tukawaangalie taifa la kesho
Back
Top Bottom