Recent content by Nkurukumbi

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ya vijana yananitesa, kila nikiwa na kijana naumizwa

  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ya vijana yananitesa, kila nikiwa na kijana naumizwa

    "very young!" mwenyewe ameshasema hataki vijana anataka wanaume.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Upinzani Bungeni 2015-2020.

    Sheria iko wazi wewe kiherehere cha nini? Nafasi ya kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni inakwenda kwa chama cha upinzani chenye wabunge wengi bungeni na siyo nafasi ya kupeana tu
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 ya kustaajabisha kwenye uchaguzi huu

    Wewe kweli screpa unashangaa vitu vidogo kama hivyo badala ya kushangaa wizi wa kura watu kukamatwa na maboksi takwimu za kura kutofautiana za majimboni na zinazoletwa NEC, na mabomu yanayolindima kila kona baada ya wagombea wa UKAWA kushinda.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania elections not credible, says European Union

    Huyo ni rais wa ccm siyo wa Tanzania. sisi tunataka mabadiliko huyo Magufuli mkanywe naye chai
  6. N

    JamiiForums Tanzania Arusha - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Asante kwa matokeo
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kigoma - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Kwakuwa ACT kimeanzishwa ubavuni mwa ccm wakaunde kambi ya upinzani wakati UKAWA wakitawala nchi
  8. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa Live ITV akipiga Kura Monduli

  9. N

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

    angeeleza pia hadi leo ni kwanini Richmond inalipwa?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Chalinze: Wasimamizi wakuu wapewa vifaa vya uchaguzi kulala navyo nyumbani

    hapa kuna harufu ya bao la mkono
  11. N

    JamiiForums Tanzania Je, Ni kweli Mwakyembe akimbia mji wa Kyela?

    Hivi paka akiingia chumbani panya atabaki?
  12. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegundua wanawake huwa wana expire date

    Kwa umri wake ni kawaida wala hajaexpire sasa ulitaka awe kama alivyokuwa kwenye 18's amekula ujana wake na sasa amekuja kupumzika na mzee mwenzie. Na alichokisema siku za nyuma alikuwa anakimaanisha "Kwamba nakuchukia, sikupendi, kwanza wewe sio handsome kama flan na flani, hatuendani, hivyo...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha ajali ya chopa iliyombeba Filikunjombe

    Mara nyingi watanzania tunakwama pale tunaposhindwa kutenganisha siasa na utaalamu.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri: wadau nimeona simu ya tecno c8 nimeipenda sana kutokana bei na camera yake

    Nimejifunza mengi sana wadau kwani hata mimi jana nilikuwa mlimani city nikaiona hiyo tecno C8 niliitamani sana nikataka niinunnue lakini nikaona nivute subira hadi j.3 ndo niende kununua. kama mambo ya tecno ndo hayo siendi kununua tena
Back
Top Bottom