screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,926
- 15,982
- Thread starter
- #21
11. Mawakala wa vyama vya siasa kama wawakilishi kuchelewa kufika na kwenda lunch na usiku kuondoka kwenda kulala na kuacha shughuli yao kwa wasimamizi wa tume
12. Majimbo ya mjini kwenye miundombinu yote kuchukua mpaka siku 3 kutangaza washindi na figisufigisu za kutaka kurudia kuhesabu ilhali usalama wa maboksi ya kura unatia shaka
13. Watangazaji matokeo kuchukua muda mrefu kutangaza wakijiua hiyo inazua sintofahamu kwa wapiga kura wanazi
14. Kingwendu kugombea ubunge na kupata zaidi ya kura 8000