SUPER PREDATOR
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 2,093
- 725
Kutokana na ujio wa mgombea wa urais kwa tiketi ya CHADEMA Lowassa, ambaye anawakilisha UKAWA, waandishi wa habari wamekuwa wakijitahidi kupata maoni ya Mwakyembe kuhusiana na ujio huo wa Lowassa mjini Kyela bila mafanikio jambo linalopelekea waandishi hao kupata hisia kuwa mgombea huyo wa Ubunge wa Kyela.
Huenda amehama mji kwa muda. Baadhi ya wananchi waliohojiwa walisema wangependa awepo ili atoe ufafanuzi mzuri wa madai yake ya ufisadi wa Lowassa.
Wenye taarifa zaidi jamani mtujuze
Huenda amehama mji kwa muda. Baadhi ya wananchi waliohojiwa walisema wangependa awepo ili atoe ufafanuzi mzuri wa madai yake ya ufisadi wa Lowassa.
Wenye taarifa zaidi jamani mtujuze