Kiongozi wa Upinzani Bungeni 2015-2020.

Kiongozi wa Upinzani Bungeni 2015-2020.

Sheria iko wazi wewe kiherehere cha nini? Nafasi ya kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni inakwenda kwa chama cha upinzani chenye wabunge wengi bungeni na siyo nafasi ya kupeana tu
 
Toa figusu hapa saiv tuna UKAWA yetu na ndo itaamua nani awe kiongozi wa kambi tena usishangae akawa Mbatia mbunge pekee wa nccr.
 
Afu ccm mnapotaka kuipangia Ukawa mliwasaidia Kampeni
Basi kama vipi Waziri mkuu Awe Dr slaa
 
Kwa hali ya bunge itakavyokuwa Ni muhimu Kiongozi wa Upinzani Bungeni atoke CUF upande wa Zanzibar ili kuonyesha Umoja wa Kitaifa.

Kwasababu CUF walikubali kuburuzwa kwa kumtoa Juma Duni Haji kuwa mwanachama wa CDM ili kumuunga mkono mgombea wao.
Lakini pia kwa kitendo cha CDM kuwa na mgombea uraisi wa Jamhuri wamepata kura nyingi kuliko CUF na hivyo CDM watapata viti maalum wengi na ruzuku nyingi ya kuendesha chama.
Ni Wakati wa Mbowe kuacha tamaa na kuachia nafasi ya Kiongozi wa Upinzani Bungeni iende CUF na CDM itoe mnadhimu wa kambi Rasmi ya upinzani.
Ni wakati wakwenda kuunda kambi rasmi ya Upinzani Bungeni kwa umoja na ushirikiano.
Na Ni lazima mwenye viti maalum wengi na mwenye ruzuku nyingi na aliyesimamisha mgombea uraisi amuachie mwenzie aweke Kiongozi wa Upinzani Bungeni.
Natumai katika hili CUF hawatakubali Uzwazwa.
Acha kufitinisha watu wewe! Pumbavu mkubwa!
Do your businesses and we do ours! F***L**A MKUBWA WE!
 
Kwa hali ya bunge itakavyokuwa Ni muhimu Kiongozi wa Upinzani Bungeni atoke CUF upande wa Zanzibar ili kuonyesha Umoja wa Kitaifa.

Kwasababu CUF walikubali kuburuzwa kwa kumtoa Juma Duni Haji kuwa mwanachama wa CDM ili kumuunga mkono mgombea wao.
Lakini pia kwa kitendo cha CDM kuwa na mgombea uraisi wa Jamhuri wamepata kura nyingi kuliko CUF na hivyo CDM watapata viti maalum wengi na ruzuku nyingi ya kuendesha chama.
Ni Wakati wa Mbowe kuacha tamaa na kuachia nafasi ya Kiongozi wa Upinzani Bungeni iende CUF na CDM itoe mnadhimu wa kambi Rasmi ya upinzani.
Ni wakati wakwenda kuunda kambi rasmi ya Upinzani Bungeni kwa umoja na ushirikiano.
Na Ni lazima mwenye viti maalum wengi na mwenye ruzuku nyingi na aliyesimamisha mgombea uraisi amuachie mwenzie aweke Kiongozi wa Upinzani Bungeni.
Natumai katika hili CUF hawatakubali Uzwazwa.
Magamba na propaganda uchwara! Hebu timizeni ilani yenu ya uchaguzi acheni wapinzani waendeshe mambo yao wenyewe.
 
Kwa hali ya bunge itakavyokuwa Ni muhimu Kiongozi wa Upinzani Bungeni atoke CUF upande wa Zanzibar ili kuonyesha Umoja wa Kitaifa.

Kwasababu CUF walikubali kuburuzwa kwa kumtoa Juma Duni Haji kuwa mwanachama wa CDM ili kumuunga mkono mgombea wao.
Lakini pia kwa kitendo cha CDM kuwa na mgombea uraisi wa Jamhuri wamepata kura nyingi kuliko CUF na hivyo CDM watapata viti maalum wengi na ruzuku nyingi ya kuendesha chama.
Ni Wakati wa Mbowe kuacha tamaa na kuachia nafasi ya Kiongozi wa Upinzani Bungeni iende CUF na CDM itoe mnadhimu wa kambi Rasmi ya upinzani.
Ni wakati wakwenda kuunda kambi rasmi ya Upinzani Bungeni kwa umoja na ushirikiano.
Na Ni lazima mwenye viti maalum wengi na mwenye ruzuku nyingi na aliyesimamisha mgombea uraisi amuachie mwenzie aweke Kiongozi wa Upinzani Bungeni.
Natumai katika hili CUF hawatakubali Uzwazwa.
Mi nilidhani Ungesema Kwa kuwa mgombea mwenza wa CCM katoka Zanzibar akiwa Mwanamama, Basi ni vyema zaidi rais ajae aendeleze usawa huu(haki sawa) kwa kumteua spika kutoka zanzibar na awe mwanamama kama mama Makinda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom