Recent content by nkululeko

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ada elekezi kwa Shule binafsi kutolewa Desemba 15 mwaka huu

    Mh hatari kumbe huko feza.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nakumatt Supermarket kutuuzia mifuko yenye nembo zao waache

    Kwanza nakumat wanauza vitu bei mbaya sana.mimi niliona isiwe shida nikabeba mfuko wangu..
  3. N

    JamiiForums Tanzania What is the sweetest answer you ever heard from your kid?

    Haaa..mimi naulizwa mama unaenda wapi dady kasema usitoke...nikaona kijana sasa anaenda mbali6yrs
  4. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchepuko unataka nimuache wife

    Badili mfumo wa maisha yako, jipange achana na huyo shetani anaetaka uache familia..
  5. N

    JamiiForums Tanzania Dada Zangu Nawaombeni mnisaidie

    Mh..mnamambo nyie wanaume...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Diamond-Platnumz na Wema Sepetu(MAMA 2014) walitisha, couple zuri sana

    Inasikitisha sana..nadhani wanashangaa sana anavyotukanwa.wakienda kwa wenzetu kupiga mziki kama congo,na kenya na burundi.wanafurahi hatari hapa bongo wanatukanwa tu..inasikitisha kweli kama mtu ajasoma au nini tatizo..mbona wengi wamesoma na hawana lolote..
  7. N

    JamiiForums Tanzania Precision may not last long in the air, auditors now warn

    Ata sauda ni mkenya anatokea mombasa..na alifanya kenya airways upande wa cargo.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwanangu amekuwa addicted na catoon (katuni)

    Loh..tuko wengi kumbe..mimi mpaka nazijua cartoon.maana jamaa wanaangalia sana,mimi wangu nimeanza kumkatiza sasa maana anaenda 6yrs...akitoka shule saa sita anafika saa saba anakula anapumzika..ikifika kama kumi.na mbili na nusu.anasoma kama 1hr halafu anakaa moja kamili chakula na nusu...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Dar: Mamba auliwa maeneo ya Kinondoni - Morocco eneo la THT zamani

    Mbona ile mvua kubwa alitoka..na walikuwa wawili na jike lilichukuliwa na wazungu muda kidogo..na asubhui mida ya saa 4 nasikia uwa anatoka kuota jua waendaji kibo wanasema kazoea watu..hatari
  10. N

    JamiiForums Tanzania Dar: Mamba auliwa maeneo ya Kinondoni - Morocco eneo la THT zamani

    Mimi nakaa kama mtaa mmoja tuko hapo bar,nilikuwa naogopa sana.nasikia walikuwa wawili jike alichukuliwa na wazungu ndio dume likabakishwa na nilivyosikia mali asili wanajua..ni story ndefu nasikia wazungu ndio waliwaweka hapo toka wadogo.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Dar: Mamba auliwa maeneo ya Kinondoni - Morocco eneo la THT zamani

    Panaitwa kibo bar..kama unatoka bestbite unashuka chini na hiyo barabara mbele kidogo kulia ndio kuna hiyo bar..ninacho shangaa kafikaje huko.tht maana ni mbali na block 41
  12. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu Mpoki vipi jamani?

    Ata mie nilicheka sana..
  13. N

    JamiiForums Tanzania Msada jamani

    Jamani pole..mafuta ya taa ni hatari..hope umemuwaisha hospital na ukirudi waambie hao waliokuwa na mtoto vitu kama mafuta ya taa sio vya kuweka ovyoovyo..
  14. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miaka 4 ndani ya ndoa na watoto 2

    Usiseme tasa..hakuna mwanamke asiependa kuwa na mtoto..
  15. N

    JamiiForums Tanzania Sanitas medics and diagnostics hospital mikocheni baraka plaza

    Kama unamuamini doctor wako kwanini unaanza kupata mashaka..kuwa na amani....hospital nyingi zina matatizo lakini tunaenda..kila la kheri
Back
Top Bottom