Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,827
- 15,015
zipi hizo??????????? sijawahikuziona hizo.
mfano wake huu hapa
zipi hizo??????????? sijawahikuziona hizo.
truddy tunaomba msaada wako hapa
Mi kweli sijui........huku Yaeda sisi tunatumia majani..........
Jamani Dina........kukojoa si ni sehemu nyingine tofauti........
Hapana huchomoi inabaki ilipo haihusiani na kwenda haja ndogo, unajisaidia kama kawaida huhitaji kuitoa na kurudisha.
Wkt unaweka kuna kijikamba lazima kibaki kwa nje ili ukimaliza matumizi nayo unaivuta na kuitupa.
Ni rahisi sana kutumia na confortable.
Lakini Mbona Nasikia Ule Ubaridi Wake Una Madhara Ktk TUNDA La Moyo?
Kuna mdau kasema zinaitwa tampon
mfano wake huu hapa
Hapana huchomoi inabaki ilipo haihusiani na kwenda haja ndogo, unajisaidia kama kawaida huhitaji kuitoa na kurudisha.
Wkt unaweka kuna kijikamba lazima kibaki kwa nje ili ukimaliza matumizi nayo unaivuta na kuitupa.
Ni rahisi sana kutumia na confortable.
Kuna zile zinaingizwa ndani kwa bibi..ndo zipi?? Nadhani ni nzuri zaidi
Unamaanisha tampons? Hizo ni nzuri ila pia zina faida na hasara zake na zinahitaji discipline kuzitumia.
Yeah.ndo hizo...hasara ni zipi???
Kwanini haumuulizi mama'ko anatumia nini?
Moja ni kupata Toxic Shock Syndrome kama akiwa mvivu wa kuzibadili kama inavyoshauriwa.
Kama ana heavy flow( damu kutoka kwa wingi sana) atalazimika kutumia hiyo na pads za kawaida na hivyo kujiongezea gharama tu. Pia haishauriwi kutumia usiku hivyo lazima kutumia pads za kawaida.
Pia tafiti zinaonyesha tampons ni moja wapo ya kichocheo kinachoweza kukuza fibroids kama mtu anazo lakini bado ndogo.
Wewe Sina Shida Na Wewe Na Najua UNACHOKITAFUTA Kwangu Na Leo Nasema Tena Sitaki Mazoea Na Mbwa Wewe Humu Na Sihitaji Hata Uwe Unachangia Threads Zangu Kama Ambavyo Mimi Huwa Sichangii Threads Zako Na Kiukweli SIKUPENDI Na UNANITIA KICHEFUCHEFU Na HUNA TOFAUTI NA KINYESI CHANGU NILICHOTOKA KUKITOA MUDA SI MREFU. Kuna Akina Dada Humu Nawaheshimu Na Napenda MICHANGO Yao Na Nawashukuru Wamechangia Kwa Uwingi Na Nimeelimika Sana Tu. Mtu Mzima Lakini Lumpen Kabisa Na POPOMA Uliyetukuka. Endelea Tu Kunifuatafuata Na Nyie Mnaosema Mimi Huwa Nakuwa MKOROFI Sasa Naomba Niwaone Mkijitokeza Ktk Hili Na Mseme Mimi BINADAMU Na Huyu MBWA KOKO FaizaFoxy Ni Nani MKOROFI Na Anastahili Lawama. Huko Nyuma TULILUMBANA HUMU Na Nikaamua Binafsi Kuachana Nae Lakini Namshangaa Kuwa Anapenda Mno Kunifuatafuata Na Cha Kushangaza Post Yake Hii Ameituma Muda Mrefu Tu Lakini Sijaona Member Yoyote Akikemea Lakini Naamini Hivi Ninavyomjibu Wataanza Kujitokeza Watu Kunilaumu Na Nawasubiri WANAFIKI MJITOKEZE ILI Niwafungulieni KOKI Yangu. Kama Uzi Hujaupenda Kuna ULAZIMA UCHANGIE? au UNANITAKA? Endelea Kunichokonoa NIKUANIKE HUMU WEWE NI NANI, UPO WAPI Na UNAFANYA NINI Na Kama UNADHANI SIKUJUI Na Sijakujua Endelea Kujipendekeza Kwangu.
Achana na hili jini Maryamu, mimi nilishampuuza siku nyingi tu wala hanipi tabu tena.
Kuna zile zinaingizwa ndani kwa bibi..ndo zipi?? Nadhani ni nzuri zaidi
Mh..mnamambo nyie wanaume...